walikuja kishirikina au kibinadamu kawaida je ulikuwa unawaona au nawewe umejizindika mkuu?NIkiwa katika mihangaiko yangu kipindi flani niliamua kuwekeza katika kilimo cha mpunga hapo maeneo ya Mlandizi ila Sasa niliyokuja kuyaona niliamini hakuna Mungu kwenye kulima mana wakati wa kupanda kila Mkulima alikuja na njia zake za kufanikisha kupanda.
Jilani yangu yeye alikuja na vijana wake wakalizunguka Shamba huku wapo uchi na kichwani walikuwa wamebeba chungu kilichojaa majimaji.
Kuangalia upande mwingine wa Shamba naona mtu anaandikiza hilizi kiukweli niliamini kuliacha lile Shamba mana ni mashamba ya kukodi na niliamua kuondoka kabisa baada ya kuulizia habari za eneo lile kipindi cha kilimo inakuwaje nikapewa mkanda mzima
pesa imefanyaje hapa, fafanua, naona kama upo nje ya madamchawi mkubwa ni PESA
walikuja kawaida tu na hata Yule Mzee alikuwa anawambia siwezi kuona aibu katika utafutaji wangu yani kule ni uchawi tu mwanzo mwisho tena hadharaniwalikuja kishirikina au kibinadamu kawaida je ulikuwa unawaona au nawewe umejizindika mkuu?
Unaweza usiyaamini hayo mambo mpaka yakukute.bimkubwa wangu alilima heka 3 za mpunga aliambulia gunia 10 tu wakati bibi wa jirani alikuwa hana hata haka 2 alikuwa anakuja kuvuna na mafuso dah kudogo awe chizi
Hahahaha tena sio mbali na mjini hapo mabwepande na bado ukayaona mauzauzAUnaweza usiyaamini hayo mambo mpaka yakukute.
Balaa hilo lilinipata mimi pia nilipoamua kuingia kwenye kilimo cha matikiti, hapo Mabwepande.
Uongo hamna kitu kama icho, mchawi ni akili yako.NIkiwa katika mihangaiko yangu kipindi flani niliamua kuwekeza katika kilimo cha mpunga hapo maeneo ya Mlandizi ila Sasa niliyokuja kuyaona niliamini hakuna Mungu kwenye kulima mana wakati wa kupanda kila Mkulima alikuja na njia zake za kufanikisha kupanda.
Jilani yangu yeye alikuja na vijana wake wakalizunguka Shamba huku wapo uchi na kichwani walikuwa wamebeba chungu kilichojaa majimaji.
Kuangalia upande mwingine wa Shamba naona mtu anaandikiza hilizi kiukweli niliamini kuliacha lile Shamba mana ni mashamba ya kukodi na niliamua kuondoka kabisa baada ya kuulizia habari za eneo lile kipindi cha kilimo inakuwaje nikapewa mkanda mzima
Asa mbona hamkuroga taifa star ishinde Afcon.Inaweza kuwa kweli uchawi akili yangu ila watoto kama nyie ambao mmekuwa mnaletewa kila kitu nyumbani huwezi jua haya ila siye tuliotafuta sehemu mbalimbali tunajua haya mambo