matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,515
Hapo naanza kupata picha.Nigeria hakuna uchawi huo wa kutisha kuliko sehemu nyingine Afrika.
Kilichofanya Nigeria ionekane ni gwiji wa uchawi, ni movie zao za NOLLYWOOD.
Kanywe maji ya buku hapo kwa mangi.. Nalipia mmNigeria hakuna uchawi huo wa kutisha kuliko sehemu nyingine Afrika.
Kilichofanya Nigeria ionekane ni gwiji wa uchawi, ni movie zao za NOLLYWOOD.
Nigeria hakuna uchawi huo wa kutisha kuliko sehemu nyingine Afrika.
Kilichofanya Nigeria ionekane ni gwiji wa uchawi, ni movie zao za NOLLYWOOD.
Lkn pia ukaribu wa waarabu na watu weusi ni kama mtumwa na bosi.Kanywe maji ya buku hapo kwa mangi.. Nalipia mm
Mambo mengi kumbe huwa tunalishwa matango pori tu.Yes mkuu ni stereotype tu ,nilikuwa nawasikiliza wadada flani hivi mapacha wapo youtube wanatoka Jamaica ,kuna vitu pia walizungumzia watu wa nje wanavyowachukulia wajamaika na wao huwa wanashangaa...,..Moja ya kitu walichozungumzia wakasema watu wa nje wanajua kwamba ganja ni legal jamaica na kila mjamaika ana smoke weed na ndio hivyo hivyo mganga lazima aseme anatoka Lyamba lya mfipa sumbawanga.
Vodoo ni noma hata namibia kuna kabila wanahiyo culture.Haiti wanga kinoma wazee wa voodo.
Wanga na wameambukiza uchawi wao unatumika hata huko latino america hasa kwa wauza unga
Wauza unga wanautumia kama kinga eti. Sema una makafara sanaVodoo ni noma hata namibia kuna kabila wanahiyo culture.
Kwa vodoo unaponya hata mgonjwa na kutoa pepo. Wasanii wa wanaopenda miujiza wakiingia shule ya vodoo watapiga pesa hadi wakose pa kuweka waumini fuata upepo
Ntaifuatilia. Maana mimi nilijua kundalini yoga na uchawi wa kihindi ndio noma zaidi.Wauza unga wanautumia kama kinga eti. Sema una makafara sana
Mambo mengi kumbe huwa tunalishwa matango pori tu.
Kuna jamaa nilikuwa nafuatilia sana step kwa step nigeria ni nabii hivi nione uchawi wake nimekuja kuconclude sio mchawi ila ni msanii tu kama matapeli wengine. Anacheza na media graphics, anaaminisha watu yeye yuko vipi, na tricks nyinginyingi na anapiga pesa balaa ila tena anawaambia mimi sitegemei pesa zenu.
Usanii ni mwingi kuliko uchawi. Hata waganga wa nigeria wanatumia loophole hiyohiyo kula vichwa
Yap. Mimi huwa naangalia macho yao.Yes mkuu ,manabii wanacheza na mindsets za waamini wao na pia magic tricks(mazingaombwe).
Bado yuko hai huyo sai baba? India ni nchi yenye mambo mengi ya ajabu. Kuanzia historia, imani, majengo ya kale, na mambo ambayo scientifically hayana maelezoNtaifuatilia. Maana mimi nilijua kundalini yoga na uchawi wa kihindi ndio noma zaidi.
Maana kuna mhindi (mungu) sai baba huyo alikuwa anapiga show za hatari Yesu asogei kwa miujiza yake maana hadi kufufua. Au kupotea katikati ya watu.
Ila ni uchawi
Yes mkuu ni stereotype tu ,nilikuwa nawasikiliza wadada flani hivi mapacha wapo youtube wanatoka Jamaica ,kuna vitu pia walizungumzia watu wa nje wanavyowachukulia wajamaika na wao huwa wanashangaa...,..Moja ya kitu walichozungumzia wakasema watu wa nje wanajua kwamba ganja ni legal jamaica na kila mjamaika ana smoke weed na ndio hivyo hivyo mganga lazima aseme anatoka Lyamba lya mfipa sumbawanga.
Hapo naanza kupata picha.
Umenikumbusha movie moja mzimu mkandala lufufu anauita "OGANIGWE".
Lilikiwa balaa sana, kumbe ni mambo green sceen tu