Uchawa umezidi Bungeni

Inashangaza sana nimejaribu kuangalia lile Bonge (bunge) la ile inchi ya kusadikika yaani hakuna anayeongea la maana hata moja , kunzia mwanzo hadi mwisho jitu linamsifia Killer in chief tu, kwakweli miafrika tuna safari ndefu sana.

Wao wenyewe ni zao la uovu. Hivyo wanamsifia mwenzao ambaye wanamwona amewashinda katika ushetani. Kuanzia huyo muuaji mpaka hao wahuni wa Bungeni, hakuna aliyechaguliwa na wananchi.
 
Inashangaza sana nimejaribu kuangalia lile Bonge (bunge) la ile inchi ya kusadikika yaani hakuna anayeongea la maana hata moja , kunzia mwanzo hadi mwisho jitu linamsifia Killer in chief tu, kwakweli miafrika tuna safari ndefu sana.
Lile 'bonge' kama wewe sio CCM wala usithubutu kuangalia. Watakuharibia siku. Lazima wamsifie hakukuwa na kura wala uchaguzi wamewekwa tu pale wanakula vinono unategemea nini? Hiyo ni project maalumu kuyeyusha kuwa 'anachukiwa'.
 
Ukilinganisha kati ya Bunge la marekani ,uingereza na Bunge kibogoyo la kishikaji la Samia unaona kabisa Bunge la Samia na mchengerwa limeachwa miaka 1000 nyuma.
 
Utaniambia yule Asenga (mb)
Ana akili timamu?
Utaniambia anazijuwa kazi za bunge yule kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…