Mie naona kuwaandikisha wachangiaji alafu wengine wakakosa nafasi ya kuchangia inaweza saidia kuwa msingi wa kurekebisha kanuni ili kwa wakati mwingine wengi au wote waweze kuchangia.
Naona kwenye mikutano yao ya msekwa kile chama cha zamani wameambiwa hata kama huna la kuongea jiorodheshe kwani mna wapa gepu wale jamaa kuongea mno.Mwaka huu wamebanwa kweli kweli.