Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,576 Reaction score 12,375 Apr 12, 2018 #1 Huyu jamaa asaidiwe kwenye uchambuzi wa Soka Makosa ni mengi sana
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,915 Reaction score 10,770 Apr 12, 2018 #2 Mchambuzi uchwara
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Apr 12, 2018 #3 Huyu jamaa heri awe ana Google hata maana kila siku anakosea sana
NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,974 Reaction score 1,210 Apr 13, 2018 #4 Kwan 16/17 alikuwa na goli ngapi
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,576 Reaction score 12,375 Apr 13, 2018 Thread starter #5 abbaczo said: Kwan 16/17 alikuwa na goli ngapi Click to expand... 12 goals
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,677 Apr 13, 2018 #6 Shafii ni Simba damu, watu wa Simba ni waongo waongo sana
IFRS JF-Expert Member Joined Dec 19, 2014 Posts 2,920 Reaction score 5,279 Apr 13, 2018 #7 Ila Mimi najua CR7 amekuwa mchezaji bora misimu 4 mfululizo na Mwaka huu anatimiza msimu wa tano
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,965 Reaction score 13,944 Apr 13, 2018 #8 Ndo mlo wake ulipo.