PamojaTz
Senior Member
- Oct 12, 2020
- 174
- 138
Atomic Habits ni kitabu kinachoeleza jinsi tabia ndogo sana ambazo hufanywa kila siku zinavyoweza kuleta mabadiliko makubwa katika maisha ya mtu. Badala ya kulenga mafanikio makubwa mara moja, mwandishi anashauri kuanza na hatua ndogo lakini thabiti. Anasisitiza kuwa mafanikio ya kweli yanatokana na kubadili mfumo wa maisha na si tu kuweka malengo. Ili kubadilika, mtu anatakiwa abadili mtazamo wake wa ndani yaani kujiona kama mtu mpya mwenye tabia anazozitaka. Kwa kufanya hivyo, tabia hizo hujijenga taratibu na kudumu.
Gusa link kupata vitabu ma uchambuzi.
Gusa link kupata vitabu ma uchambuzi.