UCHAMBUZI: Kifaru cha Leopard 2 ni hatari kwa Urusi

UCHAMBUZI: Kifaru cha Leopard 2 ni hatari kwa Urusi

Vipi kuhusu zile ndege za kimarekani za f~16 je ukraine akizipewa anaweza kuishinda urusi katika vita?
 
View attachment 2494441
Kwa mujibu wa BBC

Kwakweli ndio maana Urusi inapaswa kukubali tu yaishe kama Poland itapeleka Leopard 2 Uingereza itapeleka Chalenger Us ikapeleka Abram,T90 ya Urusi haitakuwa na kazi tena

Souce: BBC News Swahili
Hawa watu walio kuwa wanatoa comment hizi walikuwa wajinga sana🤭 tulipo waambia watu wenye akili zetu walituona wajinga ni sisi.
 
Back
Top Bottom