Uchambuzi: Kama Simba akishinda leo nipigwe ban

Uchambuzi: Kama Simba akishinda leo nipigwe ban

Tanguliza uzalendo. Hata kama ni timu ya makolo; huko waliko wanajulikana ni Simba kutoka Tanzania
 
GOOO9OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO9OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOLLLLLLLLLLLLLLLLLLL


Al masry 1.........0 Simba deportivo de makolo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
SIMBA [emoji1241] wakiwa Ugenini mechi 5 za mwisho CAF

[emoji777] Al Ahly 2-0 Simba
[emoji1666] Ahli Tripoli 0-0 Simba
[emoji777] Constatine 2-1 Simba
[emoji736] Sfaxien 0-1 Simba
[emoji1666] Bravos 1-1 Simba

Umegundua nini hapo …[emoji3166]
Cc: Team of citizens

Msimamo wangu
Mimi kama mchambuzi maarufu Baada ya takwimu hizo ninaomba Kwa akili zangu mods.mnipige bani siku Moja kama Simba atashinda mechi ya Leo
Yani Simba ya kina mutale ...kibu impige mwarabu[emoji32][emoji51][emoji51]???? Hiki ni kichekesho

View attachment 3291029
 

Attachments

  • Screenshot_20250403-031006.jpg
    Screenshot_20250403-031006.jpg
    380.5 KB · Views: 11
Back
Top Bottom