Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440

ILE PICHA INAYOONESHA KUWA NI PICHA YA MELI ILIYOZAMA KULE UNGUJA

KUMBE NI UWONGO.ILE NI PICHA YA MELI ILIYOZAMA HUKO UFILIPINO TAR

31/07/2011.KWA TAARIFA ZAIDI FUNGUA HII LINK HAPA CHINI UJIONEE JINSI

TULIVYOPIGWA CHANGA LA MACHO

United Filipino Seafarers
jamii forum ndio kila kitu. Hapa full datas tu......du we mkali sana. Afu hv ulikua unatafuta nn mpaka ukakutana na hii picha mkuu? Ndo mana naipenda jamii forum.

.....du we mkali sana. Afu hv ulikua unatafuta nn mpaka ukakutana na hii picha mkuu? Ndo mana naipenda jamii forum.
Acha uongo wako tupe link ya JF yenye picha hiyo na trh na muda maana post zote zina muda wake.Picha ile ilianza kutumiwa hapa JF, vyombo vya habari vya IPP na magazeti ya udaku kwa saaana

nikashangaa Spice islander kweli hii mbona imefunikwa yote wakati yenyewe ina cargo mbele na nyumba kwa ajili ya kubeba magari na mzigo mingineyo. walitoa maktaba wakabandika, watz mazuzu