Uchakachuaji wa matokeo ya usaili uhamiaji

moforoo

New Member
Nov 26, 2013
4
0
Nachukua nafasi hii kuishukuru sana jamii Forum kwani mwezi uliopita nilituma thread ya Kuchakachuliwa kwa matokeo ya Usaili ya Uhamiaji. Kutokana na habari hiyo wengi wenye sifa sasa tumeanza kuitwa. Kwa hatua hiyo tunashukuru sana kwani kupitia Jamii forum wengi wa waliopelekwa wamebainika kukosa sifa na sisi kina yakhe sasa tumeitwa. Habari ambazo sio rasmi ni kuwa bwana Kasike aliyewachomeka watu wake baada ya mlungula amekubali ya ishe na kutema baadhi ya mlungula na hadi sasa hali yake kikazi sio nzuri ingawa bado kwa nguvu zote analindwa na kutetewa na dada yake mwanasheria. Asante sana Jamii Forum kwa kazi nzuri sana jamani mbarikiwe hatuna cha kuwalipa.
Mwana Jamii
 
SIKAUKA MHAPA

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
247
170

Kwanza naomba msamaha kwa wana JF kwa kuwa hii thread ni siku nyingi toka decemba 2013, ila kuna watu pamoja na mimi mwenyewe tupo njiani kuja huko immigration, swali je baada ya kuchakachuliwa uliitwa tena na umeeanza kazi? je maswali yao yakoje au ndo yale tanzania kusini imepakana n nnani? je kama ulifanikiwa kuchaguliwa HONGERA SANA YAKHE, tunaomba ututhibitishie wale ambao tupo njiani kuja huko depo linachukua muda gani na mnafanyia wapi moshi au mbeya na je kuna allawance yoyote mnapewa mpokuwa depo
ni hayo tu yakhe mwenzangu mimi nawakisilisha kwa niamba ya wenzangu ikiwezekana na wao watauliza ya kwao tunaomba ushirikiano wako nipo mtaani tu napiga cha ndimu na madogo
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
96,759
2,000

E bwanae kwani ni kati ya zile nafasi zaidi ya 100 zilizotangazwa tayari watu walishaitwa kwenye interview? Au nizipi hizo mkuu?
 
MinMash

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
321
225
Kwanza naomba msamaha kwa wana JF kwa kuwa hii thread ni siku nyingi toka decemba 2013, ila kuna watu pamoja na mimi mwenyewe tupo njiani kuja huko immigration, swali je baada ya kuchakachuliwa uliitwa tena na umeeanza kazi? je maswali yao yakoje au ndo yale tanzania kusini imepakana n nnani? je kama ulifanikiwa kuchaguliwa HONGERA SANA YAKHE, tunaomba ututhibitishie wale ambao tupo njiani kuja huko depo linachukua muda gani na mnafanyia wapi moshi au mbeya na je kuna allawance yoyote mnapewa mpokuwa depo
ni hayo tu yakhe mwenzangu mimi nawakisilisha kwa niamba ya wenzangu ikiwezekana na wao watauliza ya kwao tunaomba ushirikiano wako nipo mtaani tu napiga cha ndimu na madogo

kaka huyu jamaa kama alifanikiwa kwenda depo hayuko hewani sasa hivi make bado wako depo ! kule simu au ipad haziruhusiwi hata kama akiwa nayo ni hizi ndogo zisizo na internet!!!!!! may be mpaka Mwezi july!
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
96,759
2,000
hapana hii thread ni ya mwaka 2013! ajira ya 2013

Ok, nimekusoma mkuu.Vipi hizi nafasi zilizotangazwa mwezi wa pili bado hawajaanza kuita waombaji kwebye interview? kwa anaye fahamu wazee.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom