Don san tan
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 575
- 443
Naomba na sisi walemavu tujumuishwe kwenye Ubunge wa viti maalumu. CCM chama changu naomba mtuangalie na sisi tupate nafasi serikalini
Mnataka nini, ubunge ama kuwa serekalini?Naomba na sisi walemavu tujumuishwe kwenye Ubunge wa viti maalumu. CCM chama changu naomba mtuangalie na sisi tupate nafasi serikalini
Ubunge wa viti maalum mkuuMnataka nini, ubunge ama kuwa serekalini?
Achana na chama cha ccmUbunge wa viti maalum mkuu
kwa nini mkuu, nipe chama mbadalaAchana na chama cha ccm
Subirini kura ziibiwe vizuri mtapata.Ubunge wa viti maalum mkuu