PreGE2025 Uchaguzi Wetu ni Umungu/Ushetani? Anayekinukisha kuuzuia Uchaguzi wa Kimungu ni Shetani, ila Kama ni wa Kishetani, anayeuzuia Afanya Kazi ya Mungu au?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,718
Wanabodi

Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani

Mimi ni Mkristu Mkatoliki,kwa kawaida huwa nasali misa ya kwanza,ila kwa vile leo ni sikukuu ya Jumapili ya Matawi,mwanzo wa Juma Takatifu,Mwokozi wetu Bwana wetu Yesu Kristu,leo anaingia Yerusalemu,Misa ya pili kwenye parokia yangu,itaandamana na maandamano,hivyo na mimi nitasali misa ya pili ili niandamane。

Hivyo siku ya leo naianzia jf,kwa muendelezo wa yale maswali yangu ya holistic approach kuhusu chaguzi zetu。

Swali ni uchaguzi wetu ni uchaguzi wa ki Mungu au ni uchaguzi wa kishetani?. Uchaguzi wa ki Mungu,una Umungu。ndani yake watu wote wanaoshiriki wanakuwa treated equally and the same treatment to all。Uwanja wa ushindani ni level playing ground na unachezeshwa na marefa watenda haki wasioegemea upande wowote!

Uchaguzi wa kishetani,una Ushetani ndani yake!. ni uchaguzi usio huru na wa haki,unaochezwa kwenye uwanja tenge,wenye marefa wanaopendelea upande mmoja!。

Mtu anayetaka kuuzuia uchaguzi wa Kimungu kwa kukinukisha,ni anafanya kazi ya shetani, ni Shetani! ila kama uchaguzi wetu sio huru na wa haki,then sio uchaguzi wa ki Mungu,ni uchaguzi wa kishetani,mtu anaye taka kuuzuia uchaguzi wa kishetani kwa kukinukisha,mtu huyo afanya kazi ya Mungu!

Sio mara moja au marambili,watu wafanyao kazi ya Mungu kuwa persecuted kwa kutupwa magerezani kama Paulo na Sila,Shadrack,Meshaki na Abednego,na wengine hata kuuwawa kwa vifo vya mateso kwa kusulubiwa msalabani,ila ni kwa kuteswa kwake, sisi tuna ponywa!。

Bwana wetu Yesu Kristo,hakuwa na kosa lolote,lakini aliteswa na kuwambwa msalabani hadi kifo,lakini siku ya tatu alifufuka katika wafu,akapaa mbinguni,toka huko atakuja tena kwa utukufu kuja kuwahukumu wazima na wafu,nao ufalme wake haitakuwa na mwisho!。

Vipi chaguzi zetu Tanzania,ni chaguzi za kiMungu au za kishetani?

Vipi kumhusu huyu anayetaka kusimamisha uchaguzi kwa kukinukisha hadi uchaguzi usifanyike,afanya kazi ya Mungu au ya shetani?

Kama ni kazi ya Mungu,je Mungu ataingilia kati au atamuacha asulubishwe kama Masiha?,ndipo kisha atupatie ukombozi?。

Nawatakia dominika njema ya Jumapili ya matawi。

Paskali。
 
Kwani kuna anaeweza kuzuia uchaguzi nchi hii?

Kama yupo anaeamini anaweza kuzuia uchaguzi amuulize tindu lissu. Alikamatwa kama kifaranga ananyakuliwa na mwewe na hakuna aliyefanya chochote kuzia mwenyekiti kukamatwa kiuonevu zaidi ya kuja kulialia mitandaoni.
 
Ni mpango wa Mungu kuwa na uchaguzi, ila Mifumo yeyote ya siasa duniani ni ya kishetani!

Sababu:

- Mungu anakaribishwa na wahusika au na watu wanaomtafuta na Kukuomba, Mungu anakaribishwa "Ufalme wako uje, mapenzi yako yatimizzwe"

- Mungu anaweza kufanya kila kitu, ila amechagua kwamba atafanya na wanadamu, Kitabu cha mwazo "Na tumuumbe mwanadamu akatawale" Mungu amempa Mwanadamu utawala wa Dunia, mwanadamu asipomkaribisha hutamsikia!
 
Typically Huu Uchaguzi wetu ni Ushetani

Ndio sababu anayekuja kuukimboa ni aliyesimamiwa Na Mungu hata Mauti ikamshindwa .

Uchaguzi gan watu wanakufa hovyo?.
 
Pascal Mayalla ungechagua kuwa neutral ungekuwa msaada sana kwa Taifa letu.

Unajua mambo mengi na unauwezo mkubwa wa kuwasilisha. Ni bahati mbaya sana uanachama wako wa chama cha Mapinduzi wakati fulani unakufanya unashindwa kuyatazama mambo katika jicho la uhalisia.

Wewe na wote tunajua uchaguzi wetu umefanywa kuwa wa kishetani na CCM. Kila mtu ndani ya nchi hii analijua hilo.

Sijajua nini kinakufanya uone kama "No Reforms No Election" ni utopia.

Chadema akiwa muathirika namba moja wa mfumo huu wa uchaguzi lazima apinge kwa kila nguvu huu uchaguzi.

Mimi kijana ambaye nakusoma hapa jamiiforums na mmoja wapo wa wengi ambao tunatamani haki itendeke katika taifa letu.

Naomba unimpe mtizamo wako, wa nini chadema ifanye kupata uwanja wenye haki wa kushindana na CCM. ambaye toka vyama vingi vianzishwe inajulika uchaguzi na mifumo yake yote ipo kuilinda chama cha mapinduzi.
Naomba nisaidie nijue ikiwa kuna mpango mbadala zaidi ya kudai reforms kwa matendo na lugha kali.
 
Hawezi kukujibu.Lkn anajua kua mkurugenzi wa tume kateuliwa na rais, wakurugenzi ni makada wa ccm.kuna kazi hapo???
 
Ni uchaguzi wa kishetani, tena sio kwa bahati mbaya, it is by design!

Aliyeasisi taifa hili hakuwa na imani na uwezo wa wananchi wa kawaida wa kuchagua na kuchaguliwa katika uongozi.

Aliamini Chama chake cha mapinduzi kitakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kichakata na kupembua viongozi kwa kishirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama.

Kwasasa muasisi hayupo, na wote aliodhani wangehakikisha misingi ya chama inalindwa wamekengeuka. Chama kiko mikononi mwa mafisi, hawawezi kukiachia kwa hiari kamwe.

Hivyo huu ushetani utaendelea mpaka siku utakapositishwa kwa nguvu / shinikizo.
 
Hakuna cha mungu wala shetani , CCM imekuwa ni wezi kila uchaguzi kwakutumi tume illiyojaa maafisa vipenyo na makada wa CCM.

Hizi hadithi za mungu na shetani ambao hujawahi hata kuwaona au kuthibitisha wapo haziwezi kuwatoa kwenye reli watu , wizi wa CCM unaojulikana na uthibitisho upo hadi wa video na picha

This must come to an end.
 
Ni uchaguzi wa kishetani, tena sio kwa bahati mbaya, it is by design!

Aliyeasisi taifa hili hakuwa na imani na uwezo wa wananchi wa kawaida wa kuchagua na kuchaguliwa katika uongozi.

Aliamini Chama chake cha mapinduzi kitakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kichakata na kupembua viongozi kwa kishirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama.

Kwasasa muasisi hayupo, na wote aliodhani wangehakikisha misingi ya chama inalindwa wamekengeuka. Chama kiko mikononi mwa mafisi, hawawezi kukiachia kwa hiari kamwe.

Hivyo huu ushetani utaendelea mpaka siku utakapositishwa kwa nguvu / shinikizo.
Naunga mkono hoja
 
Ni bora yatokee mapinduzi ya kijeshi...Ccm ni wa hovyo...
 
Wanabodi

Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani

Mimi ni Mkristu Mkatoliki,kwa kawaida huwa nasali misa ya kwanza,ila kwa vile leo ni sikukuu ya Jumapili ya Matawi,mwanzo wa Juma Takatifu,Mwokozi wetu Bwana wetu Yesu Kristu,leo anaingia Yerusalemu,Misa ya pili kwenye parokia yangu,itaandamana na maandamano,hivyo na mimi nitasali misa ya pili ili niandamane。

Hivyo siku ya leo naianzia jf,kwa muendelezo wa yale maswali yangu ya holistic approach kuhusu chaguzi zetu。

Swali ni uchaguzi wetu ni uchaguzi wa ki Mungu au ni uchaguzi wa kishetani?. Uchaguzi wa ki Mungu,una Umungu。ndani yake watu wote wanaoshiriki wanakuwa treated equally and the same treatment to all。Uwanja wa ushindani ni level playing ground na unachezeshwa na marefa watenda haki wasioegemea upande wowote!

Uchaguzi wa kishetani,una Ushetani ndani yake!. ni uchaguzi usio huru na wa haki,unaochezwa kwenye uwanja tenge,wenye marefa wanaopendelea upande mmoja!。

Mtu anayetaka kuuzuia uchaguzi wa Kimungu kwa kukinukisha,ni anafanya kazi ya shetani, ni Shetani! ila kama uchaguzi wetu sio huru na wa haki,then sio uchaguzi wa ki Mungu,ni uchaguzi wa kishetani,mtu anaye taka kuuzuia uchaguzi wa kishetani kwa kukinukisha,mtu huyo afanya kazi ya Mungu!

Sio mara moja au marambili,watu wafanyao kazi ya Mungu kuwa persecuted kwa kutupwa magerezani kama Paulo na Sila,Shadrack,Meshaki na Abednego,na wengine hata kuuwawa kwa vifo vya mateso kwa kusulubiwa msalabani,ila ni kwa kuteswa kwake, sisi tuna ponywa!。

Bwana wetu Yesu Kristo,hakuwa na kosa lolote,lakini aliteswa na kuwambwa msalabani hadi kifo,lakini siku ya tatu alifufuka katika wafu,akapaa mbinguni,toka huko atakuja tena kwa utukufu kuja kuwahukumu wazima na wafu,nao ufalme wake haitakuwa na mwisho!。

Vipi chaguzi zetu Tanzania,ni chaguzi za kiMungu au za kishetani?

Vipi kumhusu huyu anayetaka kusimamisha uchaguzi kwa kukinukisha hadi uchaguzi usifanyike,afanya kazi ya Mungu au ya shetani?

Kama ni kazi ya Mungu,je Mungu ataingilia kati au atamuacha asulubishwe kama Masiha?,ndipo kisha atupatie ukombozi?。

Nawatakia dominika njema ya Jumapili ya matawi。

Paskali。
Ni katika kukumbushana tuu.
P
 
.
 
Back
Top Bottom