Uchaguzi wa USA Leo

Teh teh teh ....watanzania nao watume wa kwao
 
 
Watumwe wapi, asiyejua aende akamsimamie anayejua!!
 
Haya...hatimaye wenu mtiifu naye katoka kutekeleza haki yake ya kiraia.

Hata dakika 5 haijachukua[emoji106]




Halafu ile natoka tu kwenye subdivision nakutana na placards za Trump na Pence [emoji3]

 
Yaani mpk leo usa mnapiga kura kwenye kituo. Technology yote hii! Ingebidi watu wapige kura majumbani kwao tu. Bado sanaaaaaaaa
 
Yaani mpk leo usa mnapiga kura kwenye kituo. Technology yote hii! Ingebidi watu wapige kura majumbani kwao tu. Bado sanaaaaaaaa

Akina nani au wapi huko wapigapo kura majumbani mwao?
 
karibuni usa baby, mie nipo royal oak, detroit michigan...trump tumekuwa naye usiku wote...usa baby!!..
 
karibuni usa , mie nipo royal oak, detroit michigan...trump tumekuwa naye usiku wote...usa baby!!..
 
Si ndio mnao waogopa wasije wakawavulugia matokeo kwa jinsi mlivyo shallow shallow kwenye hiyo nyanja!

We tulia ushuhudie historia.

Dunia nzima imesimama na masikio yameelekezwa USA.

USA baby.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…