GE2025 Uchaguzi wa Urais Zanzibar: Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kwa 74.80%

GE2025 Uchaguzi wa Urais Zanzibar: Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kwa 74.80%

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 ngazi ya Urais Zanzibar kama jinsi matukio yanavyotujia kutoka kwenu. Ukiwa na taarifa yoyote upande huu tafadhali usisite kuweka.

Wapiga kura walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura walikuwa 717,557, ambao ndio walioidhinishwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu. Kura za urais zilizopigwa zilikuwa 600,996, sawa na asilimia 84.88. Kura zilizoharibika zilikuwa 8,863, sawa na asilimia 1.46. Kura halali alizopata kila mgombea ni kama ifuatavyo:

Wanaowania kinyang'anyiro hiki ni;
  1. Mfaume Khamis Hassan (NLD) – Kura 1,301, sawa na asilimia 0.22
  2. Leila Rajab Khamis (NCCR-Mageuzi) – Kura 1,643, sawa na asilimia 0.27
  3. Said Soud Said (AAFP) – Kura 1,238, sawa na asilimia 0.21
  4. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (CCM) – Kura 448,892, sawa na asilimia 74.80
  5. Hussein Juma Salum (TLP) – Kura 1,065, sawa na asilimia 0.18
  6. Khamis Faki Mgau (NRA) – Kura 1,161, sawa na asilimia 0.19
  7. Othman Masoud Othman (ACT-Wazalendo) – Kura 139,399, sawa na asilimia 23.22
  8. Juma Ali Khatib (ADA-TADEA) – Kura 1,455, sawa na asilimia 0.24
  9. Hamad Mohammed Ibrahim (UPDP) – Kura 1,299, sawa na asilimia 0.22
  10. Hamad Rashid Mohamed (ADC) – Kura 1,345, sawa na asilimia 0.22
  11. Ameir Hassan Ameir (MAKINI) – Kura 1,435, sawa na asilimia 0.24
Katika uchaguzi wa urais wa Zanzibar mwaka 2025, wagombea wakuu walikuwa:
  • Dkt. Hussein Ali Mwinyi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyepata kura 448,892, na
  • Othman Masoud Othman wa Chama cha ACT-Wazalendo, aliyepata kura 139,399 ambapo kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Dkt. Mwinyi kutoka CCM amepata jumla ya kura 448,892, sawa na asilimia 74.8 ya kura halali, na hivyo kupewa ridhaa ya kuongoza Zanzibar kwa awamu nyingine.
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi Zanzibar soma > GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 ngazi ya Urais Zanzibar kama jinsi matukio yanavyotujia kutoka kwenu. Ukiwa na taarifa yoyote upande huu tafadhali usisite kuweka.

Wanaowania kinyang'anyiro hiki ni;
  1. NLD - Mfaume Khamis Hassan​

  2. NCCR-Mageuzi - Leila Rajab Khamis​

  3. AAFP - Said Soud Said​

  4. Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Dkt. Hussein Ali Mwinyi​

  5. TLP - Hussein Juma Salum​

  6. NRA - Khamis Faki Mgau​

  7. ACT Wazalendo - Othman Masoud Othman​

  8. ADA-TADEA - Juma Ali Khatib​

  9. UPDP - Hamad Mohammed Ibrahim​

  10. ADC - Hamad Rashid Mohamed​

  11. MAKINI - Ameir Hassan Ameir​

Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi Zanzibar soma > GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Asante, tunasubiria matokeo kwa hamu na shauku kubwa.
P
 
Back
Top Bottom