Uchaguzi wa serekali za mitaa Muleba

Uchaguzi wa serekali za mitaa Muleba

Enkima

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
189
Reaction score
52
Wana Jf leo kuna uchaguzi wa serekali za mitaa huko muleba nadhani wa vijiji vitano na vitongoji kama nane hivi, naomba mwenye taarifa kuhusu huu uchaguzi awe ana tu update mambo yanavyokwe naamini tutaendelea kukuza imani yetu kuelekea 2015, nawasilisha
 
Back
Top Bottom