Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Ooh! Afisa Habari upooooo? Mbona kimya sana siku hizi? Hamna safari za Tandahimba?Hebu punguza jabza na utulie sindano ya ukichaa ikuingie vizuri.
Pwani vimejengwa viwanda 80+ so far...Viwanda vikijengwa tu tutaanza mchakato wa uchaguzi wa mwenyekiti so relax man
Andika kiswahili mkuu!Political environment is the most primitive not because of the opposition
"mazingira ya kisiasa yako duni sana na sio kwa sababu ya upinzani".Andika kiswahili mkuu!
Mbowe akizeekaNi muda mrefu sasa Chama kinachojinasibu kuwa cha Demokrasia kimeendelea kuwa na Mwenyekiti asiye na Ukomo.
Matokeo yake Chama kinazidi kuporomoka kwa kasi ya ajabu kwa kuteua Katibu Mkuu asiye na uwezo na kuitupa Sera ya Kupinga Ufisadi na Kutetea Rasilimali za Nchi.
Kwa kukosa mwelekeo sasa Chama hakina Dira wala Mwelekeo zaidi ya kufanya Vurugu ndani ya Bunge na kukosoa hata yale ambayo yana tija kwa Taifa eti kwa kuwa yanafanywa na CCM.
Ndio maana nauliza hivi hakuna ukomo wa Uenyekiti katika Chama hiki ambacho kilikuwa tishio wakati wa Dr Slaa na kabla ya kuwapokea waliokataliwa na CCM?
Vya kutengeneza barafu au?Pwani vimejengwa viwanda 80+ so far...