Uchaguzi wa Morogoro Mjini CHADEMA Kuharibiwa na M/Kiti Mkoa

Anaendela kuwasifia tu magamba huku anajiita KAMANDA!
labda Chipukizi lakini sio kamanda.
Kuwa kamanda maana yake hata CCM wakiwa na kizuri ukichukie? Tuachukua vizuri wasivyovitekeleza na kuvifanyia kazi. Hii nisehemu ya siasa. Hata Nyerere aliwacheka CCM wenyewe kwa kuacha mazuri na kuchukua mabaya. (Hotuba ya Mbeya).
 
Nasema hivi, fuatilieni, na kama mimi ni muongo muniambie.

Nafikiri mpunguze hofu kwani kipindi hiki cha uchaguzi makundi hayaepukiki. Kinachotakiwa ni watu wajaze fomu nafasi wanazopenda kugombea na watu wasinyimwe fomu. Kila mgombea ataruhusiwa kufanya kampeni na ataulizwa maswali na wajumbe wa mkutano mkuu then kura za wajumbe ndio zitaamua. Wenye maamuzi ni wajumbe wapiga kura.
 
Na baada ya uchaguzi makundi yote yanatakiwa yavunjwe na kuheshimu viongozi waliochaguliwa. Ni iwapo baadhi ya viongozi hawatakuwa watendaji wazuri bado wajumbe wa mkutano mkuu wanaweza tengua maamuzi ya awali.
 
Kumbuka ni juzi tu uongozi wa muda uliwekwa na watu wahangaika kuunda makundi mengine. Mimi nimekataa, sitaki sitaki kabisa. Na nimetoa tu angalizo, ili hata hilo la kunyimwa fomu lisije tokea.
 
Okay Jibu nilishalipata, Communist WEWE ni walewale, Ukweli ni kuwa hakuna aisye Jua UGOMVI mkubwa uliokuwepo kati ya Regia Na Suzan kugombea hilo Jimbo la Ifakara.

Na kw akuwa Nimekuuuliza Unajua Mdogo wake Regia yupo chama gani kwa sasa na Unazuga kujibu, basi nimeunganisha dot na Nimekuelewa, kwa vyovyote kama wewe sio Mdogo wake REGIA basi utakuwa ni Team Ilele!

By the way Do u know anything about malariaSugu Once the famous Name at JF kwa Kuinanga Chadema na hasa Viongozi wake wakuuu Dr.Slaa na Mbowe ? Unajua ID hii iliacha kutumika Lini?
Communist ni communist wacha hizo.
 
Mamluki washaanza kuchukia. Chukieni sana, ila mjue CHADEMA sio CCM, inakwenda kuchukua dola, Haiwezi kwenda na viongozi wabovu.
 
Umekosea. Ni S.K
Kamati kuu imepitisha ratiba ya uchaguzi wa ndani ya chama kama ilivyopendekezwa na Sekretariati, kama ifuatavyo;

  • Hadi tarehe 30/07/2014- kukamilika uchaguzi wa kata
  • Hadi tarehe 15/08/2014- kukamilika chaguzi za majimbo/wilaya
  • Hadi tarehe 30/08/2014- kukamilika chaguzi za mikoa
  • Tarehe 6/09/2014- Uchaguzi wa Baraza la Wazee
  • Tarehe 10/09/2014- Uchaguzi BAVICHA
  • Tarehe 11/09/2014- Uchaguzi BAWACHA
  • Tarehe 12/09/2014- Kamati Kuu
  • Tarehe 13/09/2014- Baraza Kuu
  • Tarehe 14/09/2014- Mkutano Mkuu
  • Tarehe 15/09/2014- Baraza Kuu
 
Last edited by a moderator:
Mimi ndiye nilimtaja huyo mtu, na Sikusema amehujumu chama maana kama angekuwa anauwezo w akuujumu angebaki CDM, ila kwa kuwa hana uwezo akakimbilia ACT.

Nakushukuru sana KIBANGA Ampiga Mkoloni. Hiyo tu nayo ni taarifa. Kumbe ndio maana hatumuoni FB siku hizi. Mara ajibadilishe ajiite Remija wa Yesu mara nini....oooh! Huo nao ni usaliti. Tumpeleka Kalenga kusimamia uchaguzi kumbe inawezekana alikuwa tayari ana elements za ACT kwa hiyo ni mmoja wa watu waliotusaliti. Tunaendelea na Uchunguzi....
 
Nyie kweli ni watu wa majungu, huyo kaingiaje kwenye uzi huu. Najua SK anamuogopa sana, lakini hayumo humu, yule ni mstaarabu.
 
Nakushukuru sana KIBANGA Ampiga Mkoloni. Hiyo tu nayo ni taarifa. Kumbe ndio maana hatumuoni FB siku hizi. Mara ajibadilishe ajiite Remija wa Yesu mara nini....oooh! Huo nao ni usaliti. Tumpeleka Kalenga kusimamia uchaguzi kumbe inawezekana alikuwa tayari ana elements za ACT kwa hiyo ni mmoja wa watu waliotusaliti. Tunaendelea na Uchunguzi....
Kumbe ulifurahia watu kukalengwa, haya bana.
 
Nimejaribu kufuatilia tarehe ya post ya mwisho ya malariasugu lakini nimeshindwa. Nilitaka kuangalia kama inaweza kuendana na tarehe ya kifo cha huyo.
Wa nini jamani. hao hawahusiki na hii post. Hii ni Liberal communist post.
 
Kuanzia Lini Mdogo wa Regia alihama CHADEMA? Je yupoo chama gani kwa sasa ? Na unajua ni nani yuko nao huko?

Nimekuja bana. bahati mbaya hatakunijua hunijui vizuri ndio maana unasema ni mdogo wa marehemu Regia. Naitwa Remija Mtema pacha wa marehemu Regia ni dada na wala si mdogo. Unaonekana kama wanijua henu sema yote. lini nilihama Chadema, na niko chama gani? toa ushahidi usiseme kwa hisia.
 
Communist

Pole sana ndugu yangu, kwa kauli hii nishagundua kuwa wewe utakuwa ni walewale, au utakuwa Hujuhi kitu kinachoendela ila unashabikia tu kama walivyowengi humu.

Ila nakushahuri chunguza Nyendo za Mdogo wa Regia alafu uje uniambie Kunani ?

Sio kila akitajwa Regia au Suzan Kiwanga basi Remija yuko nyuma.

Umesema sahihi achunguze, hilo la maana. ila pia ni vizuri mkamsikiliza mtoa post, kuliko kuishi kwa hisia tu kuwa kuna makundi ya Suzan na Remija na wengineo. muwe wasikilizaji zaidi kuliko kujifanya mnajua sana.

mtoa post anaonekana yupo Moro au pengine ni kiongozi aliyewekwa hivi karibuni, sasa kunihusisha na mimi utakuwa hujafikiri sawasawa.
 
Okay Jibu nilishalipata, Communist WEWE ni walewale, Ukweli ni kuwa hakuna aisye Jua UGOMVI mkubwa uliokuwepo kati ya Regia Na Suzan kugombea hilo Jimbo la Ifakara.

Na kw akuwa Nimekuuuliza Unajua Mdogo wake Regia yupo chama gani kwa sasa na Unazuga kujibu, basi nimeunganisha dot na Nimekuelewa, kwa vyovyote kama wewe sio Mdogo wake REGIA basi utakuwa ni Team
Ilele!

By the way Do u know anything about malariaSugu Once the famous Name at JF kwa Kuinanga Chadema na hasa Viongozi wake wakuuu Dr.Slaa na Mbowe ? Unajua ID hii iliacha kutumika Lini?

Hapa ndio pameniuma sana sana,

Malaria Sugu yupo mpaka mwaka huu, kusema alikuwa akitumia Regia ni uwongo mkubwa sana sana, sio vizuri hasa kuongea uwongo kwa mtu aliyetangulia mbele za haki, siasa zisitufanye tukose utu!

Regia alikipenda sana Chadema, aliwaheshimu viongozi wake wote, kusema alitumia Id ya Malaria Sugu kuwananga utakuwa unamkosea sana sana. Hata hivyo Malaria Sugu anaeleweka ni muislamu na ni CCM hili liko wazi ama sivyo utakuwa humjui kwa post zake humu. its very unfair kumuhusisha na Regia mwache apumzike kwa amani. Kama ni siasa za kutaka kunichafua nichafueni mimi, mumwache Regia apumzike kwa amani.

suala la chama kuwa na kumbukumbu za vifo pengine hilo halipo kwenye Katiba wala kanuni yao, na wala sio lazima kufanya kumbukumbu, hata ccm wala chama kikingine, wala familia mbalimbali sijawaona wakifanya. Ila familia ama taasis ikiandaa huwa wanashiriki, mwaka jana Mzee Kimesera alikuwepo kwa niaba ya Katibu mkuu, na wengine wengi walikuwepo pia Chama kilichangia. Hata mwaka huu washiriki wengi walikuwa wanachama. Sio utamaduni wetu kufanya kumbukumbu, so usitafute uwongo usio na sababu. Hujui kwa namna moja ama nyingine unakipaka chama matope kwa kuhangaika na watu waliotangulia mbele za haki, kwa hisia tu kuwa alikuwa akitumia malaria sugu.

leave Regia rest in peace!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom