baharia Ar
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 837
- 316
Yaani Waziri wa Tamisemi ndio mkuu wa uchaguzi? Nashauri wanaharakati wapenda haki twendeni Mahakamani tukazuie uchaguzi huu unaokwenda kumwaga damu za watu,kwakuwa tume huru iko Mahakamani sasa ni muda uchaguzi huu wa Serikali mitaa ukazuiwe Mahakaman hadi pale utakapokuwa huru.
Plz wasomi tuokoenI kwa hili msiwe vichwa mizigo.Uchaguzi huu kama utafanyika chini ya Mbunge wa CCM yaani Waziri wa Tamisemi tusitegemee haki kutendeka sana sana itakuwa ni kuwachosha tu wapiga kura.
Tume sio huru na huu wa mitaa sio huru.
Naomba kutoa hoja