Uchaguzi wa marudio Zanzibar kufanyika mwezi Machi 20, 2016

index2.jpeg


index.jpeg


Uchaguzi Zanzibar kufanyika tarehe 20 march Jecha kasema
 
Nilitamani kuwe na tume nyingine huru, kumbe "usiyemtaka kaja"!
 
Anyway kazi kwao. Maana anachotaka jecha ndicho kitakachotokea. Kulikua hakuna haja ya kurudia. Wangeacha tu shain aendelee maana hakuna jipya litakalotangazwa baada ya uchaguzi. Ccm oyeee
 
Hapa viongozi wa UKAWA wamsaidie Seif hii ngoma ni ngumu,na pia wasichukue kususia uchaguzi as an alternative"CCM hiyo itakua taarifa nzuri sana kwao na ndicho wanachoomba".na pia wakikubali kurudia hawatashinda hata Maalim Seif akichaguliwa m/kiti wa tume badala ya Jecha!!nawasihi wakae waje na best solution kwakweli..
 
Juzi Maalim Seif kashauriwa na UKAWA asusie vikao vya faragha, sasa nyundo imeshuka.....20/03/2016
 
Kwa mujibu wa ripoti rasmin ya ZEC
Hivi hilo tangazo ni kwa mujibu wa ZEC [Kwa maana ya composition ya makamishna wa ZEC] au tangazo hilo nalo limetolewa na kuridhiwa na mtu mmoja anayeitwa Jecha Salim Jecha kama lile lililotolewa tarehe 28/10/2015 la kuufuta uchaguzi huo?
 
Back
Top Bottom