Uchaguzi wa marejeo Zanzibar mahesabu

amanij

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
353
198
Zanzibar ni visiwa viwili navyo ni Unguja na Pemba msomaji fanya analysis yako

Walaojiandiksha kupiga kura Unguja ni 358847
Walaojiandiksha kupiga kura Pemba ni 145013
Jumla (total) 503860


Uchaguzi wa 25 october 2015:

Walopiga kura Pemba ni 116000
Walopiga kura Unguja ni 233756
Jumla ya walopiga kura 349756 ............69.4% ya walojiandikisha


Uchaguzi wa marejeo marcch 2016 :

Walopiga kura ni 341,865 67.85% ya walojiandikisha (uchaguzi ulosusiwa)
Tafauti ni 7891

Mgombea CCM kapata 299,982 kwa hivyo kura 41883 ndio zimemkataa

Analysis

Walojiandikasha Pemba 145013 28.78%
Walojiandikisha Unguja 358857 71.22%


Turn out 2015 2016
Pemba 11600 kisia
Unguja 23375 Kisia
Jumla 349756 341865


CCM haijapata kuzidi Zaidi ya 10% kutoka Pemba tangu 1995 ; 15% of X =
Kwa unguja CCM tuipe ngapi labda 60% ; 60% of Y =
Jumla 299,982

Cheza na number upate hizo
 
Dah! CCM wamepika na kujipakulia wenyewe kwa maana waliamua tu wajitangazie ushindi kwa kiasi chochote cha kura za jumla wakitakacho wao. Dunia bado inazunguka.
 
Si wote wanaweza kufanya hisabati ya mlinganisho. Malizia ukokotoaji huo.
 
Duuuhh!!! Ni Balaa Mkuu, Hata Ule 25 Oct 15 Kwa Huku Tanganyika Hali Ilikuwa Vivyo Hivyo!!!
 
Back
Top Bottom