Uchaguzi wa Jimbo la Uzini LEO

Uchaguzi wa Jimbo la Uzini LEO

kufika saa kumi na robo matokeo yatakuwa tayari sababu uzini ina wakazi wachache.
 
UZINI Mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Natamani kuliita jimbo la "UGONI". Hivyo, uchaguzi wa Jimbo la Ugoni leo!
 
Kwa nini mkuu?

ah mkuu, sijui ni umri au vipi kwani uzini yaweza kuwa - kwenye uzi, au kusema uzini (na mtu), sasa sijui yakhe tena wasema kombo uzini na yule bi mwanaasha ati', mie ntazini na huyu mwanakombo....
 
Usishangae yakachukua siku tatu,labda kama ******* wakishinda
 
Uchaguzi ktk jimbo Uzini unafanyika leo Jumapili Feb. 12. 2012
Vyama vitano vinashiriki ie CHADEMA, CUF, CCM TADEA na ...

Tunaomba walioko huko watupe Update za kinacho endelea

Asante naomba kuwasilisha

ccm na mkewe lazima waangukie kidevu
 
Kamanda Tumaini Makene yuko kule nadhani atafunguka muda si mrefu.
 
Ccm lazima waanguke na ******* yao na nadhan peoples power wako juu huko.kilala her wakaz wa uzini
 
Back
Top Bottom