Uchaguzi wa jimbo la segerea kurudiwa?

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Kuna kila dalili za kurudiwa kwa uchaguzi wa jimbo la segerea ni kutokana na kesi inaenda vizuri kwani mashaidi wanamkaanga makongoro mahanga kuna kila dalili za wazi aliyekuwa mgombea kwa tiketi ya chadema kushinda kesi hiyo wito wangu kwa makamanda wote tujitokeze kwa wingi kwenye kesi hili tuonyeshe nguvu ya umma kama kawaida
Nawasilisha.
 
Tuwe na fikra pevu wakati mwingine.. Mahakama sio serikali ni muhimili unaojitegemea kutuhamasisha tujitokeze kwa wingi hakutaathiri maamuzi ya hakimu.. Huo sio uchaguzi kwamba wataiba kura.. Tufikirie na vya kupost kama hatuna tuwe wasomaji au wachangiaji kama mimi. Waambie watu wajitokeze kwenye m4c..
 
Nimeamini kweli upumbavu wa Mungu ndo akili ya mwanadamu. Walivyojifanya wanadhurumu haki za wapigakura Mungu alijifanya mjinga kumbe ni ili watu wengi waweze kuwa na ufahamu wa kujua haki zao. Mungu tunakushukuru. Unabii unatimia kuwa Mungu ameshuka baada ya vilio vya watz kutoboa mbingu.
 
Sasa wewe mbona jina lako laonesha Mbumbumbu? Japo mimi ni layman wa sheria ila naamini imani ya watu wengi huathiri pia maamuzi mengi ya mahakamani; labda hakimu awe anatoka sayari nyingine.
 
it is better uka post maendeleo ya kesi/ update za jana ili ku verify kwa nini unaamini hivyo
 
Kwa ntafurahi sana ikiwa tukishinda kesi kwani radhi nipande basi kutoka huku nilipo KIGOMA to Segerea hawa CcM wahuni sana dhahiri kabisa kipindi kile Uncle Fred alishinda
 
Nimeamini kweli upumbavu wa Mungu ndo akili ya mwanadamu. Walivyojifanya wanadhurumu haki za wapigakura Mungu alijifanya mjinga kumbe ni ili watu wengi waweze kuwa na ufahamu wa kujua haki zao. Mungu tunakushukuru. Unabii unatimia kuwa Mungu ameshuka baada ya vilio vya watz kutoboa mbingu.

Aaaamen!
 
Unaanza kwa kumkufuru Mungu kisha unamshukuru! Nukuu nyingine si kwa kizazi hiki bana....
 
Kuna kila dalili za kurudiwa kwa uchaguzi wa jimbo la segerea ni kutokana na kesi inaenda vizuri kwani mashaidi wanamkaanga makongoro mahanga kuna kila dalili za wazi aliyekuwa mgombea kwa tiketi ya chadema kushinda kesi hiyo wito wangu kwa makamanda wote tujitokeze kwa wingi kwenye kesi hili tuonyeshe nguvu ya umma kama kawaida
Nawasilisha.

makongoro alitukana wapiga kura wa segerea eti wana tabia kama 'mabaamedi'. tukampigia kura za chuki. akashindwa, wakachakachua. kila mtu anajua walichakachua.
 
Unaanza kwa kumkufuru Mungu kisha unamshukuru! Nukuu nyingine si kwa kizazi hiki bana....

Ni kweli, tunatakiwa kuwa makini sana na Matumizi ya Misamiati ya kwenye Biblia sababu naona kunaupotoshaji mkubwa sana wa context unaofanyika.
 
Kuna kila dalili za kurudiwa kwa uchaguzi wa jimbo la segerea ni kutokana na kesi inaenda vizuri kwani mashaidi wanamkaanga makongoro mahanga kuna kila dalili za wazi aliyekuwa mgombea kwa tiketi ya chadema kushinda kesi hiyo wito wangu kwa makamanda wote tujitokeze kwa wingi kwenye kesi hili tuonyeshe nguvu ya umma kama kawaida
Nawasilisha.

Mtangoja sana, yani hii ni kama fisi kumsindikiza mtu akisubiria mkono uanguke asepe nao. Mnadhani segerea ni arumeru sio?? Hampati kitu pale. CCM chama dume, mtabaki na labda zenu tu.
 
Back
Top Bottom