uchaguzi wa facult

college huwa inapofikia kuwa inaweza kujitegemea kwa karibu mambo yote........lakin faculty msaada mkubwa inategemea kutoka chuo.....facaulty inawza kukua na kuwa college kama vile COET<DUCE n.k......vilevile hata SUA hapo baadae wantaka kuwa na college of agriculture engineering ...kwa ss wanajenga majengo na kuongeza degree programme za engineering

sawa kabisa mfano hata pale UDOM college zote zinajitegemea na zinaongozwa na principals ingawa mwisho wa siku ndo zinaunda chuo.
 
kwa mimi ninavyofaham faculty inategemea na matumizi ya chuo husika maana fuculty is a division within a university comprising one subject area or a number of related subject area. Maana yake inaweza kuwa sawa na college e.g college of humanities and social sciences, au school e.g school of busness. Ndo huwa wanaita "kitivo" kwa kiswahil ingawa sina uhakika sana. Ila degree program ndiyo hizo vijana mnazo hangaika na hao tcu wenu ili mkasome chuoni ambapo ndani yake kuna course inaenda mpaka kwenye test, assigment, course work, ue, gpa na mwisho wa siku ndo unatunukiwa degree.

Am standing to be corrected! OVER!

Umejibu vizuri sana mkuu.
 
inaitwa DEGREE PROGRAME<...facaulty ni ile inayokusanya degree programe nyingi zinazoendana....course ni ile iliyondani ya degree programme ..mf. AE 112 ya SUA(ambayo ni engineering statics)

Nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom