uchaguzi wa facult | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uchaguzi wa facult

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by The prince 004, Aug 18, 2012.

 1. T

  The prince 004 Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hello wanajamii mimi ni kijana wa kidato cha sita katika shule mojawapo inayofanya vizuri kitaaluma tanzania ila naomben ushauri kwa mliotangulia kuhusiana na uchaguzi wa facult maana ninichukua PCM na nilikuwa nafikiria kuchukua telecommunication/IT/ au civil ENGINEERING sema nina wasiwasi kuhusu upatikanaji wa ajira kwa hapa TZ maana wengi nasikia wako benchi na kuhusu ufaulu wangu namshukuru MUNGU unaridhisha kiasi kwamba unakidhi kwangu kwenda facult yeyote mradi tu unaendana na mchepuo wa PCM sasa naombeni ushauri isije nikawa kituko kwa kuwa na historia nzuri darasani halafu maisha yakanipiga chini! MUNGU akutangulie katika kutoa ushauri wako! karibu!!!
   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  wazo zuri na hatua nzuri ila kabla ya yote unatakikana jua maana y afacult na course!!! je unajua maana yake??
  -kingine wewe unapenda uje kuwa nani ktk maisha yako?? maana hapa kuna mawili kupenda na kusikia(hasa kwa ndugu au marafiki)!
  -mfano civil inaweza kua na soko leo(mwaka huu)ila baada ya miaka michache(hasa ukiwa chuo) soko likaisha!!
  -mdogo wangu usicheki sana market jali pia nini upendacho hasa toka moyoni mwako!! ila ukichek market utapotea maana soko la ajira lina change day to day!!
  ILA KWA UPANDE MWINGINE..
  -kama unataka market unaweza soma actuarial science iko pale udsm kwan ni course mpya na inataka uelewa mzuri sana wa maths...naamin itakua ina pay much hasa kwa sasa na baadae!!
  YOTE KWA YOTE CHEKI SANA UNAPENDA NINI(TOKA MOYONI MWAKO) PIA SOMA KWA BIDII SANA..NA KARIBU SANA JF!!!
   
 3. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  coz yoyote inaweza kukutoa inategemea mwajiri wako, haina fomula ni bahati tu yako na unajuana na nani. ila nakushauri soma coz ambayo utaweza kujiajiri baadae itakusaidia zaidi
   
 4. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Haya maneno matatu huwa ynatumika visivyo! ?faculty, course, na programme. Faculty inatoa,au inakuwa na degre,diploma n.k programme kadha na programme moja inakuwa na courses/subjects kadha. Naelewa hivyo!namba nirekebishwe ili tupate uelewa wa ziada
   
 5. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Mimi nakushauri komaa kwanza na shule utoke na tokeo la ukweli then ukishamaliza 6 lazma utapata mwanga.
   
 6. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  dogo maliza kwanza six ndo uje uombe ushauri huku jf...gap lakuvuka hapo six sio mchezo...ulitakiwa kuja kutuuliza tulivukaje hapo tukusaidie maujanja
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu ni neno lipi linalo stahili kutumia kati ya Course,Faculty na Program
  Mfano; Bachelor of Science in Procurement hii inaitwaje kati ya hizo tatu??
   
 8. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mkuu kwa uelewa wangu hiya ni degree 'program' na inakuwa na courses/subjects kadhaa ndani yake.
   
 9. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nimekupata mkuu
   
 10. T

  The prince 004 Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nasukuru sana kwamawazo yenu amini nayafafanyia kazi ! Mungu awabariki
   
 11. T

  The prince 004 Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  usihofu bro nimejipanga vilivyo kilichobaki ni kumuomba Mungu mambo yaje kama yalivyotarajiwa
   
 12. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,614
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Safi sana dogo kwa swali zuri

  atakayekujibu vibaya atakuwa ananitafutia bann
   
 13. T

  The prince 004 Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  usiwe na wasi kaka yangu sababu mpaka nakafikiria kupost hapa inamaana niko tayari kuufanya huo mtihani hata wakinipa wiki 2 za fanal touch ila nitashukuru kama utaniambia vile ambavyo ni vya muhimu kwa mtu ambaye anatarajia kuingia kwenye mtihani
   
 14. T

  The prince 004 Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ahsante ni wazo zuri pia
   
 15. T

  The prince 004 Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nashukuru umenipa mwanga
   
 16. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  inaitwa DEGREE PROGRAME<...facaulty ni ile inayokusanya degree programe nyingi zinazoendana....course ni ile iliyondani ya degree programme ..mf. AE 112 ya SUA(ambayo ni engineering statics)
   
 17. z

  ze dudu01 JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dogo naona umejiandaa kwelikweli !! But haya mambo huwa yanabadilika wakati wowote mi nakushauri ukomae sana afu kumbuka kusali si unajua tena Mungu ndo kila kitu.! Hope utatimiza ndoto ya kusoma iyo kozi unayotaka na mwisho wa siku ningependa kujua umepata divn gan hapo mwakani?? Ni hayo tu !!
  <<< Ze duduz >>>
   
 18. k

  kingsley Member

  #18
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  degree programe.
   
 19. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  kwa mimi ninavyofaham faculty inategemea na matumizi ya chuo husika maana fuculty is a division within a university comprising one subject area or a number of related subject area. Maana yake inaweza kuwa sawa na college e.g college of humanities and social sciences, au school e.g school of busness. Ndo huwa wanaita "kitivo" kwa kiswahil ingawa sina uhakika sana. Ila degree program ndiyo hizo vijana mnazo hangaika na hao tcu wenu ili mkasome chuoni ambapo ndani yake kuna course inaenda mpaka kwenye test, assigment, course work, ue, gpa na mwisho wa siku ndo unatunukiwa degree.

  Am standing to be corrected! OVER!
   
 20. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  college huwa inapofikia kuwa inaweza kujitegemea kwa karibu mambo yote........lakin faculty msaada mkubwa inategemea kutoka chuo.....facaulty inawza kukua na kuwa college kama vile COET<DUCE n.k......vilevile hata SUA hapo baadae wantaka kuwa na college of agriculture engineering ...kwa ss wanajenga majengo na kuongeza degree programme za engineering
   
Loading...