ingekuwa nchi za wenzetu hiyo video ingefanyiwa kazi,na ingekuwa sabb tosha kuwafungia maisha wahusika pamoja nakuwapeleka mahakamani.Im so sad for that nimefikiia mengi sana baada ya kuona ile video,nikajiuliza kama kwenye sekta zingine wanafanya mambo kama hayo,na nikapata huruma sana kwa nchi yangu...:nimekataa