thengoshahimself
Member
- Feb 5, 2012
- 63
- 6
hyo kazi apewe tundu lissu ataifanya kwa umakini
Kwa sababu kuna uwezekano kuwa baada ya Uchaguzi wa 2010 mhe. Sumari hakuchukua kiti chake kama Mbunge wa Arusha- [kwa sababu hakuapishwa kama Mbunge wala hakuhudhuria kikao chochote kile cha Bunge la 10] kuna haja ya Tume ya Uchaguzi au mahakama ya kikatiba kuamua kama hii si kesi ya aliyekuwa wa pili katika uchaguzi wa 2010 asiwe Mbunge automatically.
Ni nini kianachotakiwa kufanywa ikiwa mara baada ya uchaguzi mkuu Mbunge Mteule aliyetangazwa kuwa mshindi akafariki kwenye accident etc kabla ya kuapishwa kama mbunge? Ikitokea kwa rais mteule nafikiri makamu wake mteule anachukuwa kiti [kwa nchi kama Tanzania au USA ambako Rais anagombea na Makamu wake].
Kwa nchi kama Kenya kufuata katiba iliyopita [ambapo Makamu wa Rais anachaguliwa na Rais Mteule baada ya kuapishwa] inabidi Rais Mteule aapishwe mara tu baada ya Tume ya Uchaguzi kutangaza Matokeo ya Uchaguzi otherwise kutakua na ombwe katika uongozi - mwaka 2007 Kibaki aliapishwa saa moja jioni pale state house Nairobi saa moja baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza kama rais].
Kwa vile Uchaguzi Mdogo unagharimu fedha nyingi [Igunga iligharimu Billioni 3] na kufuatia hali ya Ukata wa Bajeti ya Serikali nafikiri possibility of filling this post by automatically swearing in the second candidate in the 2010 elections should be seriously pursued. This could be possible under the current constitution - if not possible this option should be seriously considered in the new constitution.
Ni wazo zuri ila watauana sanaKwa sababu kuna uwezekano kuwa baada ya Uchaguzi wa 2010 mhe. Sumari hakuchukua kiti chake kama Mbunge wa Arusha- [kwa sababu hakuapishwa kama Mbunge wala hakuhudhuria kikao chochote kile cha Bunge la 10] kuna haja ya Tume ya Uchaguzi au mahakama ya kikatiba kuamua kama hii si kesi ya aliyekuwa wa pili katika uchaguzi wa 2010 asiwe Mbunge automatically.
Ni nini kianachotakiwa kufanywa ikiwa mara baada ya uchaguzi mkuu Mbunge Mteule aliyetangazwa kuwa mshindi akafariki kwenye accident etc kabla ya kuapishwa kama mbunge? Ikitokea kwa rais mteule nafikiri makamu wake mteule anachukuwa kiti [kwa nchi kama Tanzania au USA ambako Rais anagombea na Makamu wake].
Kwa nchi kama Kenya kufuata katiba iliyopita [ambapo Makamu wa Rais anachaguliwa na Rais Mteule baada ya kuapishwa] inabidi Rais Mteule aapishwe mara tu baada ya Tume ya Uchaguzi kutangaza Matokeo ya Uchaguzi otherwise kutakua na ombwe katika uongozi - mwaka 2007 Kibaki aliapishwa saa moja jioni pale state house Nairobi saa moja baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza kama rais].
Kwa vile Uchaguzi Mdogo unagharimu fedha nyingi [Igunga iligharimu Billioni 3] na kufuatia hali ya Ukata wa Bajeti ya Serikali nafikiri possibility of filling this post by automatically swearing in the second candidate in the 2010 elections should be seriously pursued. This could be possible under the current constitution - if not possible this option should be seriously considered in the new constitution.
kwahiyo ina maana mtu mmoja akiwa hana kitambulisho cha kupigia kura anaweza kwenda mahakamani kuishtaki tume!? Na una amini kabisa kwamba hao watu watashinda!?
Wazo zuri sana mkuuHuyo mtu moja unayemsema ni katika watu kumi naye yumo na bila moja uwezipata kumi. Halafu kumbuka sheria haijalishi kuwa ni mtu moja. Ila nakuuliza ni haki kumzuia raia aliefikisha miaka 18 kutokupiga kura?. Kinachochotakiwa kitabu cha uandikishaji wapiga kura iwe up 2 date kila mwezi kama ilivyoshuguli za serikali wilayani,vijijini. Atuwezi kusema kuwa kama ulipiga au kujiandikisha kupiga kura mwaka 2010 ndio iwe tena mpaka 2014/15. Kama hawezi kuiup 2date basi kwenye kila jimbo linalorudiwa chaguzi basi kitabu cha wapiga kura kirekebishwe kabla ya upigaji kura.