Uchaguzi wa 2015 kama hakutakuwa na tume huru wala Katiba Mpya tufanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa 2015 kama hakutakuwa na tume huru wala Katiba Mpya tufanyeje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Mar 16, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF nemekuwa nikiangalia hali ya kisiasa hapa nchini inavyokenda na jinsi CCM walivyopoteza umaarufu na mbinu wanazotumia kuiuwa CHADEMA zinakwama siku hadi siku na kwasasa wanatafuta silaha za maangamizi kwa kukihusisha na uhaini. Nimepata hisia kuwa ujanja utakaofuata wakishindwa kuiuwa CHADEMA itakuwa nikuchelewesha kiufundi suala la kuwa na tume huru (katiba mpya) ili uchaguzi 2015 ufanyike bila katiba mpya kwa sababu zozote zile ikitokea hivyo tufanyeje? tuelimishane.
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  WananchiTutamuweka Kiongozi kwa njia ya UMMA full stop hatutakubali kuingia tena kwenye kiini macho
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Wewe nani aliyekuambia kuwa katiba na tume huru itapataikana kabla ya 2015? nani alisema na wapi?

  Kuna maoni huwa tunaotoa humu tunaoneakanaga wabaya

  2015 katiba na tume ni hii hii na vyama unavyovipenda na kuvisujudu VITASHIRIKI TU! CHADEMA na wengine hawana ubavu wa kukataa uchaguzi mkuu

  Ukitaka chadema na wengine wasiingine kwenye uchaguzi na katiba hiii, itaona akili ni kuwabana hao viongozi wako wa chadema uliowaamini sana na kuwasujudia! ukiwabana hao wakaona viti walivyokali ni vya moto, utapata katiba mpaya hata kesho, mkichekeana chekeana na kutekenyana na kuoneana aibu kwa sababu ya UPENDO, KATIBA MPYA ni ndoto, nilisema kabla ya uchaguzi, wakati chadema wanaanza tuliwaasa waangalie hii move, leo hii katiba KIMYA KABISA, bado unasema CCM wanakiua chadema, wakati wanajiua wao,
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Duu kutekenyana mmh hiyo kali ,Lakini umesema ukweli wakikalia swala la katiba chadema itakula kwao
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Swali zuri kaka mkubwa. Sasa kwa vile mimi sijala tangu asubuhi(kutokana na ufinyu wa bajeti yangu uliosababishwa na mfumuko wa bei), ngoja tusubiri walioshiba sehemu ya kodi zetu mf. Waberoya, Kashaga, zubeda, nm Hafif, Majimshindo, MS n.k. waje watuzodoe weeh!
   
 6. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kushiri uchaguzi ni kitu muhimu iwe na katiba mpya au hata bila katiba mpya, iwe tume mpya au hata bila tume mpya, Chadema wasiposhiriki kuna vyama mamluki vitashiriki na hapo nchi itakuwa haina tena chama pinzani bungeni, na mapambano yatakuwa yameishia hapo.

  Na ni nani kakwambia kwamba ni lazima tusubiri uchaguzi ujao kubadili hii serikali ya kifisadi, sisi wanachi ndio serikali tukiona hakuna kinachoendelea uvumilivu utakoma na hapo ndipo kutachimbika! tunataka ndani ya mwaka huu mchakato wa katiba na tume huru ya uchaguzi vianze, na ikishindikana kabisa tutalinda kura zetu majimbo yote next electin kama mza na arusha walivyofanya Chadema endelea kuamsha na kuhamasisha watu watazinduka tu kwani watanzania wanaakili ila walikuwa hawaelezwi ukweli na nini haki zao.
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Peoplessssssssssssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wewe zezeta kila anayepingana na hoja zako basi ni mbaya wako. sasa kuna haja gani ya kujadiliana humu na kubadilishana mawazo kama hutaki challenges? unataka watu waandike kile unachotaka tu.
  Expand your thought man/woman
   
 9. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mliwaasa CHADEMA nyie akina nani? Swala la katiba kweli lilikuwa kwenye ilani ya uchaguzi ya CDM. CCM kupitia Rais wa NEC wameanzisha mchakato na kuwakaribisha wote tulifanikishe. Sioni exclusive role ya CDM kusimama kipekee kulisukuma hili. Nina maana ni letu wote kupitia mawakala (vyama vya siasa) kwa mkondo wa kisiasa.

  Siungi mkono kauli za kuuana kivyama kwa sababu ni upuuzi. Kila chama kina ajenda yake na maamuzi ni sanduku la kura. Mkakati wa maana hata Katiba hii mbovu na tume tata bado CDM wanaweza kupigiwa kura wakashinda kwa wapiga kura kulinda kura zao tukiwemo mimi na wewe.

  TUWAUNGE MKONO KWENYE VYAMA VYETU KWA KILE TUNACHOAMINI KINA MANUFAA KWA TAIFA LETU. TUSIWE FRUSTRATED KWA SPECULATIONS ZA kuuana ki vyama.
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mbona sioni kosa lake mkuu?
   
 11. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Tatizo kuna vyama mamluki vingi tu ambavyo vitashiriki uchaguzi hata yasipotokea mabadiliko ya katiba ya nchi. Vyama vingekuwa na msimamo mmoja vingesusia uchaguzi kushinikiza uwanja sawa wa ushindani. Kwa hali ya njaa za wapinzani wengi Tanzania, itachukua mda kufikia ukombozi wa kweli.
   
 12. L

  LAT JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  huu ni ubunifu wa fikira .... asante sana

  tukirudi kwenye mada .... hii ni sintofahamu
   
 13. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni kusogeza mbele siku na mwaka wa uchaguzi mpaka pale tume huru ya uchaguzi Huyu Mzee wa kaya hana nia ya dhati ya Katiba mpya
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Kama imeuma chomoa!
   
 15. J

  Joblube JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ushauri huu umekwenda shule naikubali 100%
   
Loading...