Magu ana roho ya uharibifu na hajijui so tunaomba watu wa kujitoa na kumwelimisha.Ma ccm nayafananisha na kijana fulani tukiwa shule ya Msingi akijifanya anajua sana kujamba mfululizo. Tulimuonya sana akawa hasikii, siku moja akiwa ktk harakati zake akajilazimisha kujamaba Daah kumbe tumbo lilikuwa linamvuruga ile kujamba tuu akanyaaaa. Tulicheka balaa jamani. Aibu ikamshika hakuwa na namna zaidi ya kwenda kuoga.
Ma ccm yamelalamikiwa kila mara kufanya hujuma kwa wapinzani lakini hayakomi. Sasa hivi badala ya kujamba yamekunyaa, Shame on you. Mnanuka mavi hakuna mtu atakaye shirikiana na ninyi mpka mkajisashe mavi hayo.
Kapiga hesabu kaja na mpya tena eti ni marufuku kujitoa ,hata ukijitoa jina lako halitoki ,Chadema wameshawawahi wamesema hawataki nembo yao itumikeLeo kageuka tena, Jana alisema Walioomba wote wakagombee leo kabadili kauli. kasema wale waliopitishwa kugombea tu. ndo watakaoshiriki kupigiwa kura
Kapiga hesabu kaja na mpya tena eti ni marufuku kujitoa ,hata ukijitoa jina lako halitoki ,Chadema wameshawawahi wamesema hawataki nembo yao itumike
Kura hatupigi na hatugombei. 24 nendeni na sare za chama chenu mkachaguane muongozane wenyeweKitendo cha kubadilisha alichokizungumza Jana ,
kiongozi Mkubwa kama huyo its a big mistake.
Nadhani viongozi wetu wawe makini kabla ya kutoa matamko kwan matamko yanapobadilika badilika inakuwa ni ubabaishaji.
Hivi ni uchaguzi wa Serikali za Mitaa tu ndiyo iliyowapagawisha namna hii?? Tutarajie makubwa zaidi Twenty Twenty. Lakni kwa upande mwingine tayari Wafuasi wake nchini na hata kungineko Duniani wameshajua ni Kiongozi wa aina gani tuliye nae. Kajipaka kinyesi mwili mzima.Tatizo sio Jafu, tatizo ni huyu mzee aliyepinda bichwa ka korosho ni rais wa ajabu na hovyo kuwahi kutokea, hivi anafikiri watangulizi wake hawakuwa na akili? Ameleta aibu kubwa kwa taifa.