Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
- Thread starter
- #41
Wizara ya Mambo ya Nje wanaendelea kumaliza miti
Muda huu autumie tu vizuri kuandaa mawakili wa kwenda kumtetea ICC
Ogopa sana hadi wapuuzi wenzake SADC na AU wamesema hakukuwa na chaguzi huru. Atakimbilia wapi? Atamshawishi nani hapa duniani amuelewe?Naomba nirudie kusema hatujafanya uchaguzi nchi hii, yaliyofanyika ulikuwa uchaguzi wa ndani wa ccm ambao nao ccm waliupinga, mgombea alijiteuwa wakakataa, akabadirisha katiba yao wakakataa.