Elections 2010 Uchaguzi umeisha na Rais anahapishwa leo.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nikweli uchaguzi umeisha na wengi wamebaki na majeraha nawengine waliwekeza lakini wakakosa majimbo waliyoyataka!!sasa tutegemee kesi ngapi zakupinga matokeo ya ubunge?je nimajimbo yapi yatakuwa ya kwanza kwenda mahakamani?? Na wagombea wa chama gani unaona wanapaswa kwenda mahakamani??
 
Back
Top Bottom