Uchaguzi umeisha, Ila...

Uchaguzi umeisha, Ila...

Tumefika mwisho wa uchaguzi, baadhi ya ndugu zetu hatupo nao tena, kwa sababu adrenaline iliwaendesha na wao kutaka kuonekana walihusika kufanya fujo

CCM kwa muda mrefu imejulikana kutoa viongozi wenye maamuzi magumu, huenda kwa sasa anahitajika kiongozi shupavu kama Paul Kagame,

Wakati Rais Samia anachukua uongozi kutoka kwa Hayati Dkt. Magufuli, alikuta viongozi wengi wa upinzani wanaishi nje ya nchi, kwa moyo mmoja akaamua kukaa nao chini kuanza ukurasa mpya wa siasa za Tanzania, lakini kama tunavojua wapinzani wa nchi hii ni watu ambao ni waongo miaka yote, Rostam akatumika kama chambo, Kikwete nae akarushiwa kashfa, kwa moyo wa upole wa Dkt Samia leo hii mali nyingi zimechomwa kwa sababu ya taarifa zizizo na uthibitisho kutoka na baadhi ya viongozi wa upinzani

Yote yameshapita lakini napendekeza serikali na vyombo vyote ya usalama kutafakari upya upi mwenendo sahihi wa siasa za wapinzani nchini, wapo wafanyabiashara kama Shabiby walioanza biashara kabla hata hawajafanya siasa, leo hii magari yake yamebaki majivu

Napendekeza vyombo vyote vya usalama vianze uchunguzi pamoja na upelelezi wa chanzo za maadamano haya kufanyika, kila mmoja aliyehusika katika kurudisha nyuma maendeleo ya nchi basi apande mahakamani moja kwa moja, kuna damu mbaya inasambaa ya uzushi, uchochezi katika jamii isiposhuhulikiwa mapema nchi yetu haitakuwa kama mwanzo, Pia ukaribu wa wakenya na tanzania ufikiriwe tena, mimi ni kati ya watu tulioamini wakenya wanahusika asilimia kubwa sana kuchochea vurugu hizi, wapo baadhi waliandamana ili na wao waonekane na wao wameweza kufanya, nashauri wachukuliwe hatua kali kwao na kwa familia zao

Mwisho kabisa ni muda mwafaka wa kuulizana kama kweli tunahitaji hivi vyama vya upinzani ama Dkt. Samia aongeze ukali kidogo angalau kama Magu hatukusikia hizi kelele sijui tunaandamana
Umeazunguka kote lakin umeshindwa ku address mzizi wa tatizo

Niko against uharibifu wa mali lakini bado
Nasisitiza mtanzania mpaka anatoa barabarani haikuwa bure

Malalamiko, voices hazikusikilizwa kwa muda outcome ni pressure ,ime pile for how too long, now wakaachoa

Other external forces zina paly part ndogo sana
 
Ishi maisha marefu Samia,wazalendo wa kwel tuko pamoja na wewe
No mzalendo wa kweli yupo na huko. Only chawa
Defenition ya uzalendo haisemi usimame na utawala hata kama unaharibu au una misbehave
Mm ni mzalendo kwa nchi yangu but si kwa watawala
 
Onyesha remorse, na regret for the dead, utawezaje kudhihaki wafu? Hivyo ndivyo uivyofunzwa, Usiona umejificha kwenye proxy na hiyo avatar, yote ni hapa hapa duniani. Low ethical standards
amna anaefurahia death, however what were you expecting unashindana na dola? you were ready for it

lakini pia unajua ni wangap wameharibiwa biashara zao kwa sababu yenu?
 
Back
Top Bottom