Uchaguzi umeisha, Ila...

Uchaguzi umeisha, Ila...

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
18,905
Reaction score
14,673
Tumefika mwisho wa uchaguzi, baadhi ya ndugu zetu hatupo nao tena, kwa sababu adrenaline iliwaendesha na wao kutaka kuonekana walihusika kufanya fujo

CCM kwa muda mrefu imejulikana kutoa viongozi wenye maamuzi magumu, huenda kwa sasa anahitajika kiongozi shupavu kama Paul Kagame,

Wakati Rais Samia anachukua uongozi kutoka kwa Hayati Dkt. Magufuli, alikuta viongozi wengi wa upinzani wanaishi nje ya nchi, kwa moyo mmoja akaamua kukaa nao chini kuanza ukurasa mpya wa siasa za Tanzania, lakini kama tunavojua wapinzani wa nchi hii ni watu ambao ni waongo miaka yote, Rostam akatumika kama chambo, Kikwete nae akarushiwa kashfa, kwa moyo wa upole wa Dkt Samia leo hii mali nyingi zimechomwa kwa sababu ya taarifa zizizo na uthibitisho kutoka na baadhi ya viongozi wa upinzani

Yote yameshapita lakini napendekeza serikali na vyombo vyote ya usalama kutafakari upya upi mwenendo sahihi wa siasa za wapinzani nchini, wapo wafanyabiashara kama Shabiby walioanza biashara kabla hata hawajafanya siasa, leo hii magari yake yamebaki majivu

Napendekeza vyombo vyote vya usalama vianze uchunguzi pamoja na upelelezi wa chanzo za maadamano haya kufanyika, kila mmoja aliyehusika katika kurudisha nyuma maendeleo ya nchi basi apande mahakamani moja kwa moja, kuna damu mbaya inasambaa ya uzushi, uchochezi katika jamii isiposhuhulikiwa mapema nchi yetu haitakuwa kama mwanzo, Pia ukaribu wa wakenya na tanzania ufikiriwe tena, mimi ni kati ya watu tulioamini wakenya wanahusika asilimia kubwa sana kuchochea vurugu hizi, wapo baadhi waliandamana ili na wao waonekane na wao wameweza kufanya, nashauri wachukuliwe hatua kali kwao na kwa familia zao

Mwisho kabisa ni muda mwafaka wa kuulizana kama kweli tunahitaji hivi vyama vya upinzani ama Dkt. Samia aongeze ukali kidogo angalau kama Magu hatukusikia hizi kelele sijui tunaandamana
 
Tumefika mwisho wa uchaguzi, baadhi ya ndugu zetu hatupo nao tena, Kwa sababu adrenaline iliwaendesha na wao kutaka kuonekana walihusika kufanya fujo

CCM kwa mda mrefu imejulikana kutoa viongozi wenye maamuzi magumu, huenda kwa sasa anahitajika kiongozi shupavu kama paul kagame,

Wakati Raisi samia anachukua uongozi kutoka kwa Hayati Dkt.Magufuli, alikuta viongozi wengi wa upinzani wanaishi nje ya nchi, kwa moyo mmoja akaamua kukaa nao chini kuanza ukurasa mpya wa siasa za Tanzania, lakini kama tunavojua wapinzani wa nchi hii ni watu ambao ni waongo miaka yote, rostam akatumika kama chambo, kikwete nae akarushiwa kashfa, kwa moyo wa upole wq Dkt Samia leo hii mali nyingi zimechomwa kwa sababu ya taarifa zizizo na uthibitsho kutoka na baadhi ya viongozi wa upinzani

Yote yameshapita lakini napendekeza serikali na vyombo vyote ya usalama kutafakari upya upi mwenendo sahihi wa siasa za wapinzani nchini, wapo wafanya biashara kama shabiby walioanza biashara kabla hata hawajafanya siasa, leo hii magari yake yamebaki majivu

Napendekeza vyombo vyote vya usalama vianze uchunguzi pamoja na upelelezi wa chanzo za maadamano haya kufanyika, kila mmoja aliehusika katika kurudisha nyuma maendeleo ya nchi basi apande mahakamani moja kwa moja, kuna dam mbaya inasambaa ya uzushi, uchochezi katika jamii isiposhuhulikiwa mapema nchi yetu haitakua kama mwanzo, Pia ukaribu wa wakenya na tanzania ufikiriwe tena, mimi ni kati ya watu tulioamini wakenya wanahusika asilimia kubwa sana kuchochea vurugu hizi, wapo baadhi waliiandamana ili na wao waonekane na wao wameweza kufanya, nashauri wachukuliwe hatua kali kwao na kwa familia zao

Mwisho kabisa ni muda mwafaka wa kuulizana kama kwel tunahitaji hivi vyama vya upinzani ama Dkt.Samia aongeze ukali kidogo angalau kama magu hatukuskia izi kelele sjui tunaandamana
Adrenaline ya baba yako kama haingepanda kidogo ku balance cortiso na kufanya mambo yake wewe ungekuwepo hapo unapoandika?
 
Wa kupelekwa mahakamani ni gaidi na muuwaji samia pamoja na wapambe wake kama wewe mbuzi usie na mkia.

Na baba ako alipata hasara tu, bora hilo bao angemwaga nje kuliko kutoa ujinga kama wewe.
 
Sio lazima uandike kujaza kimya Nako unaweza pata point 3 ,na ukaonekana wa maana sana
 
Ukikubali kuwa sehemu ya jamii inayoongoza ni ya wasiojulikana, matokeo kama haya yatarajiwe. Serekali ya CCM ya sasa haipendi kuitumia MAHAKAMA japo inalipa mishahara ya watumishi wa taasisi hiyo.
 
Unatuletea gazeti kwa mtu ambayr hana uhalali wa wapiga kura? Sasa ngoja tufanye maandamani makubwa ya amani nchi nzima, kisha tufungue kesi mahakama ya kimataifa ya ICC, utaenda kuwataja hao viongozi wa upinzani. Tukiwa huko tutaweka ushahidi wote kisha tuone wapi watishia jela.
 
Vilaza hawajui chanzo cha hii shida pekee ila hata watoto wanaonyonya wanaijua.
 
Kutawala ni Itikadi, Serikali ya Magu ilijaa Ulaghai sana ndio mana wananchi walikuwa wanaona Magu yupo upande wao maneno kama Mnyonge, Kutumbua mafisadi zote zilikuwa propaganda tu,

Magu alikuwa akinusa tu kuwa mtu Fulani hakubaliki na Umma basi anamfukuza kwenye Cheo, refer kina Mwigulu, Nape, January na wengine kibao

Kuna namna Fulani regime ya Mama iliamini katika Maridhiano ama Kuna watu Basi mama aliambiwa ni muhimu warejee serikali, Basi watu hao ambao Wana vinasaba vya kutokupendwa na Umma ndio walizidi kufuel anger ya wananchi

Tunaamini Kwa awamu hii ya Pili mambo yatabadilika

Nina Imani Kubwa sana kuwa Rais Samia ataacha Alama nzuri sana ambayo pengine Marais wote waliopita hawakuiacha katika term yake hii ya Pili, She will be the Good president
 
Wa kupelekwa mahakamani ni gaidi na muuwaji samia pamoja na wapambe wake kama wewe mbuzi usie na mkia.

Na baba ako alipata hasara tu, bora hilo bao angemwaga nje kuliko kutoa ujinga kama wewe.
kama huna hoja kaa pemben
 
Ukikubali kuwa sehemu ya jamii inayoongoza ni ya wasiojulikana, matokeo kama haya yatarajiwe. Serekali ya CCM ya sasa haipendi kuitumia MAHAKAMA japo inalipa mishahara ya watumishi wa taasisi hiyo.
wasiojulikana wapo nchi zote mkuu
 
Ishi maisha marefu Samia,wazalendo wa kwel tuko pamoja na wewe
 
Unatuletea gazeti kwa mtu ambayr hana uhalali wa wapiga kura? Sasa ngoja tufanye maandamani makubwa ya amani nchi nzima, kisha tufungue kesi mahakama ya kimataifa ya ICC, utaenda kuwataja hao viongozi wa upinzani. Tukiwa huko tutaweka ushahidi wote kisha tuone wapi watishia jela.
hio ICC unaitaja kila sehem wewe kila sehem kukiwa na mauaji cha kwanza ICC ama ndo wamekwambia ndo kazi yake?
 
Vilaza hawajui chanzo cha hii shida pekee ila hata watoto wanaonyonya wanaijua.
kiuhalisia hakuna legit reason, wewe kwenda kuchoma huduma ambayo wewe mwenyewe unaitumia na kuitegemea ni ujinga mkubwa sana
 
hio ICC unaitaja kila sehem wewe kila sehem kukiwa na mauaji cha kwanza ICC ama ndo wamekwambia ndo kazi yake?
Ndiko tunaweza kwenda kutokana na haya mauaji, huku mifumo ya kutoa haki ikiwa compromised na wauaji wetu.
 
Back
Top Bottom