Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,739
- 8,736
Habari ndugu wanajamvi,
Nchi yetu ni miongoni mwa nchi kadhaa duniani zinazoongozwa kwa misingi ya kidemokrasia.
Vyama vyote vya siasa vinafanya chaguzi za kidemokrasia ili kuwapata viongozi wao wa ngazi mbalimbali.
Lakini bado kuna malalamiko kwa baadhi ya watu wakidai kwamba baadhi ya vyama havifuati misingi ya kidemokrasia, kwa mfano baadhi ya vyama vya siasa wenyeviti ni hao hao tangu mm sijazaliwa mpaka leo nimekuwa na nina uwezo wa kugegeda.
Wenyeviti hao wanadai kwamba wanakubalika ndani ya vyama wakati si kweli ila wamehodhi madaraka hayo kwa ghirba.
Kwa mfano katka uchaguzi uliopita kamanda Mbowe aliitangazia dunia kuwa hatagombea tena.
Punde tu wakaibuka wazee kutoka Kigoma wakafika Dsm kwa miguu kuja kumuomba kamanda Mbowe agombee.
Mbowe nae bila soni wala aibu akasimama akidai, kwa kuwa nimeombwa na wazee basi ntagombea sina namna.
Sasa hoja ni kwamba kwakuwa mwanzo aliombwa na wazee kutoka Kigoma, je uchaguzi unaoukuja ataombwa na wazee kutoka Mtwara? Au ataombwa na akina Mama kutoka mbeya?
Nimejaribu kujiuliza sikupata majibu. Hivyo nimeona niilete hoja ( pumba) hii jamvini kwa kadri tuwezavyo.
Naomba maoni yenu, pia wale wenzangu na mimi karibuni kwa matusi pia.