Uchaguzi ujao DR Congo

Uchaguzi ujao DR Congo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Kuna kitu nimekifikiria sana
Hili Congo tupate amani kwanza inahitaji tupate kiongozi anayependwa na raia wake na kusikilizwa na raia wake maana huyo hatatufanya tuwe pamoja na kufanya shughuli zote za jamii kwa pamoja

Sio kama tulivyo sasa wakasai. Hawapendi wakatange wabembe hatupendi wanyamulenge kwa hiyo hatupendani ili tuwe pamoja tumpate Rais anayekubalika na mwenye uwezo wa kulaani upumbavu huu wa chuki zidi yetu

Je, kwako unaona ni nani anaweza kufanya hivi

Kati ya Felix Tshisekedi
Moise Katumbi
Joseph Kabila?

Kwangu naona Moise Katumbi Maana anakubalika na wakongo wengi na wengi wanampenda

Je, wewe una mpenda nani?
 
Mose katumbi!

Jamaa alijitahidi kuwaunganisha kupitia TP Mazembe!!

HUKU kwetu wimbo wetu ni Huu;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe katiba mpya"!
 
Back
Top Bottom