Uchaguzi Uganda: Polisi yamshikilia Besigye

Magazetini

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
593
1,712


Kuelekea uchaguzi mkuu wa Uganda unaotarajiwa kufanyika Alhamis ya wiki hii, leo polisi wa Uganda wamemshikilia mgombea urais kupitia chama cha FDC wakati akijaribu kufanya kampeni kwenye kitovu cha mji wa Kampala ambako polisi walizuia.

Polisi walifyatua mabomu kadhaa ya machozi kwenye barabara ya Kampala-Jinja ili kutawanya wafuasi wa Kiza Besigye kisha kumuingiza ndani ya gari ya polisi na kumpeleka kituoni huku wafuasi wake wakimfata kwa usafiri wa pikipiki.

Besigye tayari ameshapoteza chaguzi tatu ambazo zilikumbwa na utata dhidi ya Rais wa sasa, Yoweri Kaguta Museveni ambae yuko madarakani kwa miaka 30 sasa na Besigye alishawahi kuwa daktari wake wakati yuko msituni hadi alipoamua kuwa mwanasiasa na kumuita Museveni kuwa dikteta.
========

UPDATE
Dr Besigye amepelekwa nyumbani kwake chini ya ulinzi wa polisi.
======

Besigye ameongea na waandishi wa habari na kusema hatakaa nyumbani, anajaribu kurudi kwenda kumalizia kampeni yake.

Besigye amerejea mjini na amekusanya watu wengi sana barabarani.
======

Police have arrested Forum for Democratic Change (FDC) presidential candidate, Dr Kizza Besigye as he tried Monday to access the Kampala Central Business District using the Kampala - Jinja Road.

Mr Semujju Nganda, the FDC spokesperson told Daily Monitor that Dr Besigye had been arrested as he proceeded for scheduled rallies in the Central Business District.
“Museveni has declared all public places in Kampala Central a no go area for Opposition. We wanted to have a rally at Nakivubo Stadium but police blocked us. This has left us with no choice but to address voters on the streets and roads,” he said.

Before his arrest, Police led by Kampala Central Police Station DPC Aaron Baguma, had blocked Dr Besigye from using Kampala Road suggesting that he uses Mukwano Road to access the city.
However, Dr Besigye rejected the suggestion. He tried to access the city through Nasser Road but was blocked again before police teargased and dispersed his rowdy supporters.
He is currently being held at Kira Road police station.

Efforts to get a comment from police were futile as our repeated phone calls to police spokesperson, Mr Fred Enanaga and Kampala Metropolitan police spokesperson Patrick Onyango went unanswered.
Repeated calls to police spokesperson Mr Fred Enanga went unanswered.
According to the Electoral Commission campaign schedule, Dr Besigye has planned rallies in parts of Central Kampala, including Nakivubo Stadium.

Dr Besigye’s arrest comes just a day after police chief Gen Kale Kayihura warned him against addressing campaign rallies at night, but defended the National Resistance Movement (NRM) presidential candidate, Yoweri Museveni over the same.

Gen. Kale Kayihura said Dr Besigye has been adamant to police calls to respect the Electoral Commission regulations on time on public rallies and traffic, and warned the force was prepared to use force to disperse his crowds.

“We have told Dr Besigye to stop, but the man is completely not bothered. I am making this statement on behalf of the security agencies…we aren’t going to allow him to paralyse the streets and highways,” Gen Kayihura said over the weekend.


Source: Daily Monitor
 

Attachments

  • Kizza-Besigye.jpg
    Kizza-Besigye.jpg
    10.9 KB · Views: 73
Mgombea urais wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa na maafisa wa polisi, watu walioshuhudia wanasema.
Uchaguzi mkuu utafanyika Alhamisi.
Gari lake lilikuwa likipitia barabara ya Jinja, mjini Kampala, msafara wake ukisindikizwa na mamia ya wafuasi, pale polisi walipotumia vitoa machozi kuwatawanya wafuasi hao na wakamkamata mwanasiasa huyo.
Bw Besigye alipangiwa kufanya mikutano ya kampeni leo mjini Kampala.
Ripoti zinasema anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Nagalama.
 
Mgombea wa Urais akamatwa na Police zikiwa zimebaki siku kadhaa ili uchaguz ufanyike,,,,,
 
Uchaguzi au maigizo,huo hauna tofauti na ule wa marudio wa jecha.Huyo mgombea aliyekamata ni yule hasimu mkubwa wa kisiasa wa Mseven dk.Bizige sijui chama chake kinaitwaje
 
Museven ashasema hayuko tayari kuwaachia wapinzani nchi hata kama watashinda.....uchaguzi!
Mpaka hapo naona tushaelewa nini kitatokea ktk uchaguzi
 
Donald Trumpa mgombea wa Republican aliyosema ni kweli uwezi kuwa madarakani miaka 30 na bado inataka kuendelea hata kwa kukamata wapinzani ili kusudi ushinde tu. Jamani ebu hatua gani zichukuliwe ili Africa hawa wanasiasa uchuwa waelewe kwamba kila raia wa nchi yake anayo haki ya kugombea wadhifa wo wote.Kwa ukweli Rais Museveni amezidi kwa kutotendea watu wake haki.
Bwana Shein unaona hayo ya Uganda kukamatana bila sababu, yote hayo yanatokea unapokatalia madarakani mfano ni wewe kutokubali matokeo na kutumia tume ya uchanguzi kufuta uchanguzi ili mradi ushide wewe. Ebu jitasimini unataka Zanzibar ya sina gani
 
Kwani hapa kwetu Waziri Mkuu ameondoa kauli ya kuzuia vyama vya siasa kufanya mikutano? Naona kama Polisi wanatekeleza hiyo amri kwa vitendo.
 
Chama chochote kinachoshikamana na CCM ndo tabia yake yote museveni kafundishwa na chama cha mapinduzi.
 
mgombea urais nchi uganda kizza besigye leo amepigwa mabomu na kukamatwa wakati akienda chuo kikuu makerere,huu ni muendelezo wa watawala serikali za kiafrika kuogopa wapinzani kuwaondoa madarakani
 
Back
Top Bottom