UCHAGUZI TFF: Rais bora kabisa Jamal Malinzi kuendelea na wadhifa wake

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,152
Hutaki angalia muda na saa naandika sijawahi kosea ninachoandika saa sita mpaka saba usiku

Najua wengine wanajua wanashiriki kupambana na Malinzi na lengo haswa wawepo kwenye zile kamati zao

Napenda kuwahakikishia katika wote hakuna wa kupambana na Mh. Jamal Malinzi

Makamu wa Rais - Michael Wambura

Narudia sijawahi kosea muda kama huu. Unikumbushe baada ya uchaguzi
 
Bila shaka utakuwa muhaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…