Wadau na Wapenzi wa Simba, nani anastahili kuiongoza Simba kwa sasa make uongozi uliopita umetutesa sana . Mara wauze wachezaji hela hazionekani, mara wasajili magarasa mbaya zaidi Rage amekuwa na tabia ya kutukana matusi wanachama na wapenzi wa klabu. Rejea kipindi cha michezo Magic FM kila siku utamsikia jamaa huwa wanatumia sauti yake kama kianzilishi.