Uchaguzi siku 30, INAWEZEKANA?

ggg

Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
60
Points
0

ggg

Member
Joined Nov 3, 2010
60 0
Wapendwa wabunge wenzangu: ilikuondokana na suala la uchakachuaji wa matokeo ya uchaguzi YAFUTAYO NI MUHIMU;

1: Uchaguzi ufanyike ndani ya mwezi mmoja.
2: Kila mkoa uwe na siku yake ya kufanya uchaguzi .

Maoni yangu tu. nyie mnaonaje?

Dhumuni: Kuwafanya watu wa kila aina kuwa makini na uchaguzi .i.e vyombo vya usalama, NEC yenyewe iyondokane na sula la kuchelewesha vifaa vya kupigia kura, waangalizi wa Uchaguzi na wananchi kwa ujumla kuwa makini na sehemu moja mpaka matokeo yote yatakapotolewa kwa mkoa huo then we move to mkoa mwingine.
 

Forum statistics

Threads 1,389,873
Members 528,040
Posts 34,036,976
Top