Fareed fulgence
New Member
- Feb 14, 2014
- 3
- 0
Katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Taifa Hapo mwaka kesho (2015) Bado hali ya Usalama na Amani kwa upande wa vyama pinzani kama CHADEMA na vinginevyo bado wanachama wake hawana Iman na viongozi wa chama husika hata kama ukiangalia kwa upande wa CHADEMA kumeonekana kabisa kwamba Hali ya kuaminiana wenyewe kwa wenyewe hakuna kabisa nikiwa namaanisha kwamba UAMINIFU ni Asilmia sifuri (0%) kwa upamde wa vyama pinzani SWALI= Kwa Mnasaba huu je vyama pinzani tutatimiza malengo ya vyama vyetu lakini?