Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,569
- 217,922
hujui kituAmeshinda kivipi. Hujasikia matokeo?
hujui kituAmeshinda kivipi. Hujasikia matokeo?
Kama yale ya Kenya. Odinga alishinda lakini Uhuru akaroast.Yaliyoungwa yakawa roast?
Kila kitu kipo wazi mtandaoni. Jaribu kugugoo.hujui kitu
Atatawala wapi? Ufipa?Chamisa ameshinda ila jeshi la zimbabwe limempindua na kumweka mtu wao Mnangwaga , lakini hatotawala zimbabwe
Halafu mtu anajigamba ameshinda!
Husiogope dada. Ndo mambo yanavyokwendaYaani unaona sifa kabisa kima wewe
Husiogope dada. Ndo mambo yanavyokwenda
Husiogope mtoto wa kike. Ndo maisha hayomwehu ww
KAMA USA CLITON NA TRUMP!Kama yale ya Kenya. Odinga alishinda lakini Uhuru akaroast.
CCM itatawala daima. Maana hakuna chama mbadalaNadhani wewe ndiyo mjinga, na utakuwa mccm
Kashashinda mkuu.yaani wewe unachekesha kweli kwa hiyo afanyaje sasa.