JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,112
- 3,536
salamu kwenu wote wanajamvi!
Kama kuna jambo limenishangaza mimi kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,basi ni mambo yaliyo jiri baada ya matokeo kutoka.Huwezi kuamini, toka uchaguzi umalizike na matokeo kutangazwa na hatimae Rais Magufuli kuapishwa, baada ya hapo karibu miezi miezi mitatu imepita sija muona mheshiwa ABDURAHIMANI KINANA kabisa!Amepotea kabisa kwenye vyombo vya habari. Najiulza au alitumia nguvu nyingi kwenye kampeni kiasi kwamba imebidi apumzike miezi yote hii ili kuhuisha nguvu zake? Au ameona mambo yanakwenda vizuri ndani ya chama na serikalini? Mzee Mangula nae kimyaa! Au wanatunga sheria tayari kwa a new coming?