Majimbo yatakuwa majukwaa ya JF. Tutapendekeza majina. Hakuna kuhusisha vyama. Tunaweza chagua mwenyekiti wa kuongoza uchaguzi.. kimsingi sisi wengine tupate uongozi angalau wa mtandaoni.

JF inageuka kuwa shule sasa.Kila kundi kwa kujuana kwao wataamua kutaka kuimiliki JF na kupeana uenyeji-kinara kama watekaji wa Bokoharam.Huu ni mwanzo endelevu tu.Hideous!🤔