Uchaguzi Mkuu Simba Sports Club 2014

Uchaguzi Mkuu Simba Sports Club 2014

Thinker96

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
349
Reaction score
139
Jamani tupeane habari lipi linaendelea katika Club yetu pendwa ya Simba, kuanzia nani unampa ushindi wa makisio na kwa sababu ipi? Tafadhali sitaki kusikia uchulo wa mpinzaninyoyote kuanzia madimbwi ya Kinyee c Jangwani yaani mmeshajielewa.
 
Sorry kiongoz out of topic hv cku 100 bado kule bunju au mvua za dasam zimevuruga mambo!cos kama kupanda nyasi basi hz mvua zingesaidia kukua tujuzu kwenye hil kama una taarifa nalo
 
Yaap siku mia kwani wewe ulijua ni kuanzia lini bado. Harafu nimesema yanga msikatishe hapa. . .
 
Yaani siku mia zinaisha sijapeleka hata kiroba cha mchanga bunju.daah..teeeee..........teeeeeeeees
....

......teeeeeeeeess..samahan jaman mi ni kunbe mi ni mpenzi wa timu ya wananchi.JAGWANI ALWAYS.
 
Jangwani timu ya Wananchi wapi . . . Acha uzinguaji, Timu inaongozwa kihuni na nuhuni.
 
Jamani tupeane habari lipi linaendelea katika Club yetu pendwa ya Simba, kuanzia nani unampa ushindi wa makisio na kwa sababu ipi? Tafadhali sitaki kusikia uchulo wa mpinzaninyoyote kuanzia madimbwi ya Kinyee c Jangwani yaani mmeshajielewa.

Presida: Richard M. Wambura: Ana uchu wa madaraka, sasa umefika wakati apewe nafasi aitumikie Simba maana kule TFF miezengwe mingi sana.

VP: Jamhuri Kihwelo 'Julio': Mbumbumbu aipendaye Simba bila yeye kupendwa na Simba, kuna viongozi walimfanyia zengwe, sasa amerudi kuomba uVP ili alipize kisasi, ni wakati wake sasa, apewe nafasi.
 
Jangwani timu ya Wananchi wapi . . . Acha uzinguaji, Timu inaongozwa kihuni na nuhuni.
Jangwani msitake kubisha hili, hivi kupora wachezaji wote vipenzi vya Msimbazi na kuwapeleka kwenu kama si uhuni ni nini? Na afanyaye hivyo kama simuhuni ni nani?
 
Ila mimi binafsi naona Wambura ndio kama kweli anataka uongozi kwa maslahi ya kablu lakini Aveva ni kama ana kundi nyuma yake linalotegemea ushindi wake ili linufaike na klabu, kiukweli Aveva kushinda anaweza kwa nguvu ya pesa lakini sio kwa hoja wala sera endelevu kwa kuwa sera yake kubwa ni kuifunga YANGA
 
Back
Top Bottom