Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
Mzee Tupatupa
Join Date : 16th August 2012
Posts : 57
Rep Power : 317
Likes Received69
Likes Given11
halafu unataka uchaguzi ufanyike! hivi umesoma conditions za kujiunga Jf? unajua jinsi Jf inavyo operate?
anza darasa upya
Huyu nantama asana ya MADARAKA, yani anataka atu-FISADI hata humu?
Hivi wakuu hili jina la Tanganyika lilitokana na nini..??Nimejaribu kutafuta kila kona na sijafanikiwa kupata asili yake...
Mzee Tupatupa
Join Date : 16th August 2012
Posts : 57
Rep Power : 317
Likes Received69
Likes Given11
halafu unataka uchaguzi ufanyike! hivi umesoma conditions za kujiunga Jf? unajua jinsi Jf inavyo operate?
anza darasa upya
Asili yake Tangaaaa yalikozaliwa mapenzi
Mkuu kumbuka hapa tupo chitchat. mia
Hivi wakuu hili jina la Tanganyika lilitokana na nini..??Nimejaribu kutafuta kila kona na sijafanikiwa kupata asili yake...
Kwanini Mungi umei-critisize sana thread hii? Unaogopa nini? Haya bwana,umeshinda wewe...Mkuu figganigga, kumbuka hii thread ilikuwa Jukwaa la Siasa, baadaye ndo ikaletwa humu
Kwanini Mungi umei-critisize sana thread hii? Unaogopa nini? Haya bwana,umeshinda wewe...
Hivi wakuu hili jina la Tanganyika lilitokana na nini..??Nimejaribu kutafuta kila kona na sijafanikiwa kupata asili yake...
Asili yake Tangaaaa yalikozaliwa mapenzi
hahaha duh!....waja leo waondoka leo na Raha Leo
Tanga na Nyika ni aina ya samaki waliokuwa wakipatikana Ziwa Tanganyika mkuu(sina uhakika kama bado wanapatikana), mmoja(nadhani ni Nyika) kati yao alikuwa ni mkorofi na ni kazi kweli kumvua na mwingine ni mpole.
Kama unakumbuka vizuri kuna vifuko vya chumvi zamani kidogo kulikuwa kuna mchoro wa samaki ana mdomo mrefu kama msumari halafu mapezi yake mgongoni yanaonekana yamechanua hivi.(yule ndiye Nyika)
Hii ni nukuu toka kwa J.K Nyerere
Kwa maelezo hayo kinzani hapo juu nadhani ipo haja ya kuanzisha mada inayojitegemea kwa swali hili,na kama mada hiyo ilishawahi kuletwa hapa jukwaani basi naomba link kwa faida ya wengine pia
hajui kwamba sisi ni adui ya baadhi ya watu au katumwa.?kwanza hatujuani wengi wetu so kufanya hivyo inabidi tuwe open kitu ambacho si kizuri
Kwanini unam judge mwenzako kwa idadi ya post zake?
Idadi ya posts na join date inaonyesha uchanga au ukomavu alionao mwanajf.