VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Ili kujenga heshima kati ya Members na uendeshaji endelevu wa JF,napendekeza ufanyike uchaguzi Mkuu humu wa kupata Mwenyekiti,Makamu Mwenyekiti,Katibu Mkuu,Naibu Katibu Mkuu,Mweka Hazina na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji. Uchaguzi huu hauhushani na kuwavua heshima Founders na Moderators. MUHIMU:Karibuni kwa maoni juu ya kuchukua fomu,kurejesha fomu,usaili wa wagombea,uteuzi wa wagombea,kampeni na uchaguzi wenyewe ukifuatiwa na kiapo kwa wachaguliwa.
huyu gamba ana uchu wa madaraka nenda Dodoma wenzio wanatoana roho!Mzee Tupatupa
Join Date : 16th August 2012
Posts : 57
Rep Power : 317
Likes Received69
Likes Given11
halafu unataka uchaguzi ufanyike! hivi umesoma conditions za kujiunga Jf? unajua jinsi Jf inavyo operate?
anza darasa upya
Mzee Tupatupa
Join Date : 16th August 2012
Posts : 57
Rep Power : 317
Likes Received69
Likes Given11
halafu unataka uchaguzi ufanyike! hivi umesoma conditions za kujiunga Jf? unajua jinsi Jf inavyo operate?
anza darasa upya
Ili kujenga heshima kati ya Members na uendeshaji endelevu wa JF,napendekeza ufanyike uchaguzi Mkuu humu wa kupata Mwenyekiti,Makamu Mwenyekiti,Katibu Mkuu,Naibu Katibu Mkuu,Mweka Hazina na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji. Uchaguzi huu hauhushani na kuwavua heshima Founders na Moderators. MUHIMU:Karibuni kwa maoni juu ya kuchukua fomu,kurejesha fomu,usaili wa wagombea,uteuzi wa wagombea,kampeni na uchaguzi wenyewe ukifuatiwa na kiapo kwa wachaguliwa.
Maundumula, wewe ni member wa muda mrefu sana humu, japo kiitikadi tupo tofauti lakini umejijengea heshima. mwenzetu hana hata mwezi tayari anakuja na wazo la uchaguzi! Inaonyesha ni kiasi gani baadhi ya members wasivyo serious na mambo ya msingi, badala yake anatuwekea post za kupotezeana muda!Kwanini unam judge mwenzako kwa idadi ya post zake?
Mi ntacontest uhazini
Maundumula, wewe ni member wa muda mrefu sana humu, japo kiitikadi tupo tofauti lakini umejijengea heshima. mwenzetu hana hata mwezi tayari anakuja na wazo la uchaguzi! Inaonyesha ni kiasi gani baadhi ya members wasivyo serious na mambo ya msingi, badala yake anatuwekea post za kupotezeana muda!
Mods waipeleke hii kwenye jukwaa la jokes!
Nakushauri uwe na mind set ya kubadirika. hakuna kinachoshindikana na pia usijaribu kujenga misingi ya watu flani kuwa vingunge hapa JF. Kuna watu wako hapa toka day 1 na vitu wanavyopost hapa ni kama vile wale C 1 Bugando.