On Tuesday, Chief Justice David Maraga certified the application as urgent and directed it be heard on Wednesday at 10am despite it being a public holiday.
The three in their suit argue that IEBC commissioners are serving partisan interests and Chairman Wafula Chebukati has publicly admitted that he cannot guarantee credible election.
The three petitioners, represented by lawyer Harun Ndubi, also want the court to interpret the meaning of Raila Odinga’s withdrawal from the election.
Jaji mkuu Maraga amepokea maombi kwa watu 3 tofauti tofauti kufuta uchaguzi wa 26/10/2017 kutokana na Mwenyekiti wa Tume IEBC kuthibitisha kwamba hana uhakika kama uchaguzi huo utakuwa huru, na wa haki kama mahakama ilivyoagiza.
Jaji huyu Mkuu anafahamika kwa misimamo yake pale alipofuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika hapo kabla mwezi August.
Kwa maoni ya wengi Kenya huenda Kenya ikapita sasa katika mgogoro mkubwa wa kikatiba.