Uchaguzi Kenya huenda ukafutwa

malisoka

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,860
2,637
On Tuesday, Chief Justice David Maraga certified the application as urgent and directed it be heard on Wednesday at 10am despite it being a public holiday.

The three in their suit argue that IEBC commissioners are serving partisan interests and Chairman Wafula Chebukati has publicly admitted that he cannot guarantee credible election.

The three petitioners, represented by lawyer Harun Ndubi, also want the court to interpret the meaning of Raila Odinga’s withdrawal from the election.


Jaji mkuu Maraga amepokea maombi kwa watu 3 tofauti tofauti kufuta uchaguzi wa 26/10/2017 kutokana na Mwenyekiti wa Tume IEBC kuthibitisha kwamba hana uhakika kama uchaguzi huo utakuwa huru, na wa haki kama mahakama ilivyoagiza.

Jaji huyu Mkuu anafahamika kwa misimamo yake pale alipofuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika hapo kabla mwezi August.

Kwa maoni ya wengi Kenya huenda Kenya ikapita sasa katika mgogoro mkubwa wa kikatiba.
 
Yaani bado siku mbili uchaguzi ufanyike wanataka waufute??? na walivyokuwa wamejipanga mmh
 
kwa sekeseke linaloendelea nahisi anajuta
moyoni kuruhusu uchaguzi urudiwe ingawa
kwa baadhi ya watu anaonekana shujaa
kwa mtazamo wangu hawezi fanya hivyo
maana wala msapoti mwenye uchu wa madaraka tena
 
Huyo kitendawili angetulia tu kaona hawezi shinda anataka kuleta vurugu.
 
Atakubalije matokeo ili hali anaowatuhumu kumuibia ni wale wale tu mimi naona Laila yuko sahihi kabisa kususia na kesho mahakama lazima ifute huo uchaguzi halafu tarehe 1 mwezi ujao Uhuru muda wake unafika tamati kama rais kwa mjibu wa katiba hapo naona vurugu tu kama kawaida yao kuvumiliana kwao ni mwiko
 
Wakati wa utawala wa mzee Daniel Araph Moi kuna wimbo ulikuwa ukiimbwa redioni KBC ukisema: 'ukitaka amani, inapatikana Kenya'!
Mungu awatetee!
 
Sio king'ang'anizi Kenyata alimwibia kura na ndo maana matokeo yakafutwa.Upeo mdogo wa kuelewa.
Una uhakika gani Raila kaibiwa ilhali uchaguzi huo huo idadi ya madiwani kapigwa chini..na upande wa wabunge pia kazidiwa na jubilee matokeo ya jumla? May be taratibu zilikiukwa lakini yeye kushinda...I doubt.
 
Sio king'ang'anizi Kenyata alimwibia kura na ndo maana matokeo yakafutwa.Upeo mdogo wa kuelewa.
Wewe nawe ndiye una uelewa mdogo! Ni MAHAKAMA gani ilisema jura ziliibwa? Wacha upotoshaji!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom