Uchaguzi jumuiya ya watanzania nchini algeria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi jumuiya ya watanzania nchini algeria

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by engmtolera, Dec 18, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  UCHAGUZI MKUU 2011/2012:Kwa kuzingatia mwongozo wa katiba ya jumuiya ya waTanzania waishio nchini ALGERIA (ATSA). Tume ya uchaguzi chini ya mwenyekiti RAYMOND MAUKI inapenda kuwatangazia majina ya wagombea katika nafasi mbalimbali kama ifuatavyo::

  UWEKA HAZINA
  : Sarah Swai
  : Salehe Chande

  UWAZIRI MKUU:
  Helena Merchant
  Heri Mohamed Abdallah

  UMAKAMUU WA RAISI: Twalib Yusuph Mwinshehe

  URAIS:
  Ali Abbas Ramadhan
  Gilbert Mkenda
  Gibson Kilingo

  NB:Kuchelewa kutolewa majina ya wagombea ni kutokana na mchujo mkali uliokuwa ukiendelea kutokana na wagombea kuwa wengi hivyo kulazimika kutumia busara za ziada.Pia tume imefikia mapendekezo mbalimbali kuhusu uongozi wa jumuiya yetu ambayo yatawasilishwa siku ya uchaguzi(22/12) mjini Bourmedes.Tume inawatakia maandalizi mema ya uchaguzi.

  source: Wavuti - Habari
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Hao wabongo wanafanya nini huko umangani? Kwani kuna maboksi huko?
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hongereni sana wanajumuia,huo ni uwakilishi mzuri

  namkuburi sana bwana mdogo Gibson Kilingo,nadhni amamaliza mbeya iyunga ni kijana mwelewa na ktk issue za uongozi anaziweza

  tunawatakia kila raheli wanajumuia
   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hawa vijana wanasoma ni wanafunzi,natambuwa kuwa huyo mmoja Gibson anasomea medicine na pia hao wengine pia watakuwa na major zao tofauti ktk vyuo tofauti
   
Loading...