Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa kama ifuatavyo:
1. Mgombea wa CCM atapata= 67%
2. Mgombea wa CUF atapata= 23%
3. Mgombea wa CHADEMA atapata= 8%
4. Wagombea wa vyama vingine watapata kwa ujumla wao = 2%
HONGERA SANA CCM!!! PLOLENI SANA MAGWANDA KWA KULIZWA KWA MARA NYINGINE TENA!
Mkishindwa upo tayari kunywa sumu?Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
Sorry Inguka ndiyo wapi?Kwa mtu yoyote aliyeshuhudia kampeni za huko Inguka luna kila dalili mgombea wa ccm akashinda kwa kishimdo
...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
huwa siongei sana subirini muone! na kama mkishinda uchaguzi huu basi mtanibadili kuwa magwanda!Kwa kuchakachua na kupiga watu mabomu ya machozi na hata kuua na kisha kunyakua masanduku ya kura kwa nguvu na kukimbia nayo ndivyo itakavyokuwa! Tofauti ya hapo, hiyo 67% ni ya Chadema!
tusiandikie mate wakati wino upo, tusubiri tuone; na kama mtashinda uchaguzi huu basi mimi nitabadilika kuwa gwanda!!!!!!!Kwa kuchakachua na kupiga watu mabomu ya machozi na hata kuua na kisha kunyakua masanduku ya kura kwa nguvu na kukimbia nayo ndivyo itakavyokuwa! Tofauti ya hapo, hiyo 67% ni ya Chadema!
Haya John Tendwa, tunasubiri matokeo hayo kwa machungu sana.Maneno ya raisi mstaafu mkapa jana!ushindi ni lazima kwa CCM na vyama vya upinzani ni lazima vikubaliane na matokeo hayo machungu.Tanzania Daima