Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Dodoma hali ya siasa imepanda joto kuhusu uchaguzi wa kesho wa bunge la Afrika Mashariki. Wanaopewa kipaumbele kushinda ni..
1. Professor Safari
2. Josephene Sebastian
Wabunge wa CCM wengi wao watawapigia kura hao kutokana na aina yao ya siasa. Wabunge hao wanasema Profesor Safari amekuwa mtu wa siasa za hoja na sio kutukana wale anaotofautiana nao kama wafanyavyo hao wengine. Wanasema Prf. Safari ni mtu msoni, mpole, mgwaana, mtulivu, na asiyependa makuu. Hivyo wameamua kumpa kura..
Huku mwingine atakayeshinda anatajwa kuwa Dada Josephene Sebastian.
Chadema wanatakiwa kupeleka wabunge wawili katika bunge la Afrika Mashariki